Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,130
- 3,599
Unahitaji kuhamishia kwako pia?Ramani iko wapi boss
Ndio namaanisha nikihamishia jirani na alipojenga yeyeHapo hapo jirani?
ukibadili nje itakuwa shida?
Kama bado haijapigwa plaster, piga picha pande zote nne uje nazo nikutengenezee hiyo ramani kama ilivyoNdugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Mkuu unataka kuibadili kwa nje au vipi?Kama bado haijapigwa plaster, piga picha pande zote nne uje nazo nikutengenezee hiyo ramani
Usitufanye wajinga wajinga.Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Kuna utoto gani hapo mkuu? Punguza chuki dhidi ya watu usiyowafahamu. Itakusaidia sanaU
Usitufanye wajinga wajinga.
UNakera, punguza utoto
Punguza kuwageuza watoto watu usiowafahamu.Kuna utoto gani hapo mkuu? Punguza chuki dhidi ya watu usiyowafahamu. Itakusaidia sana
Kwani nimekulazimisha au nimekutuma?Punguza kuwageuza watoto watu usiowafahamu.
Neno FACT lina maana kubwa sana kwenye kujenga hoja. Huna fact.
Unategemea tufanye immaginations za hallusinations zako?
PanicKwani nimekulazimisha au nimekutuma?
Kima mmoja, achana na mimi na ufanye yako
Kumbe umeelewa, sasa endelea maana unajua kabisa hasira za raia akipanic hasa akiwa nyumba ya keyboardPanic
Nakodisha vifaru.Kumbe umeelewa, sasa endelea maana unajua kabisa hasira za raia akipanic hasa akiwa nyumba ya keyboard
Tupia picha ya hiyo nyumba!Kwani nimekulazimisha au nimekutuma?
Kima mmoja, achana na mimi na ufanye yako
Hapana, naichora kama ilivyo...kuta zikiwa hazijapigwa plaster ni rahisi kukadiria vipimo kwa kuangalia idadi ya tofali na pia kujua partition zinavyokaa kwa kuangalia maungio ya kutaMkuu unataka kuibadili kwa nje au vipi?
Kuna kitu kinaitwa copy rights mkuu! Kuwa makini!Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Nimekuelewa kiongozi. Sema me nauliza tu kama nikiihamshia kwangu kunaweza kuleta shida. Maana nyumba bado haijaisha hivyo ni rahisi kuingia na kuicopy kama ilivyo kuanzia vipimo vyote.Hapana, naichora kama ilivyo...kuta zikiwa hazijapigwa plaster ni rahisi kukadiria vipimo kwa kuangalia idadi ya tofali na pia kujua partition zinavyokaa kwa kuangalia maungio ya kuta
Copy right unaijua lakini?Nimekuelewa kiongozi. Sema me nauliza tu kama nikiihamshia kwangu kunaweza kuleta shida. Maana nyumba bado haijaisha hivyo ni rahisi kuingia na kuicopy kama ilivyo kuanzia vipimo vyote.