Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
Kiujumla kila mmoja anapenda awe unique, inaweza isilete shida lakini anaweza asifurahie kitendo cha kucopy ramani yake bila idhini yake...na kumbuka huyo ndio jirani yako (linapotokea tatizo la ghafla, majirani ndio watu wa kwanza kukusaidia). Vitu vidogo kama hivyo vinaweza vikaleta uhasama wa kudumuNimekuelewa kiongozi. Sema me nauliza tu kama nikiihamshia kwangu kunaweza kuleta shida. Maana nyumba bado haijaisha hivyo ni rahisi kuingia na kuicopy kama ilivyo kuanzia vipimo vyote.