Hechy Essy
JF-Expert Member
- Mar 30, 2023
- 640
- 2,413
Kiujumla kila mmoja anapenda awe unique, inaweza isilete shida lakini anaweza asifurahie kitendo cha kucopy ramani yake bila idhini yake...na kumbuka huyo ndio jirani yako (linapotokea tatizo la ghafla, majirani ndio watu wa kwanza kukusaidia). Vitu vidogo kama hivyo vinaweza vikaleta uhasama wa kudumuNimekuelewa kiongozi. Sema me nauliza tu kama nikiihamshia kwangu kunaweza kuleta shida. Maana nyumba bado haijaisha hivyo ni rahisi kuingia na kuicopy kama ilivyo kuanzia vipimo vyote.
But mtaa ukiwa na majengo yanayofanana, unapendeza sana.Kuna kitu kinaitwa copy rights mkuu! Kuwa makini!
Mkuu raman ipo wap Sasa na sisi tuione...Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
High panic disorder attack kitaalam huitwa ivyo....Panic
Nimependa neno "Uhasama" kama ule wa CCM na CUF Zanzibar ule NDIO ulikua Uhasama...Kiujumla kila mmoja anapenda awe unique, inaweza isilete shida lakini anaweza asifurahie kitendo cha kucopy ramani yake bila idhini yake...na kumbuka huyo ndio jirani yako (linapotokea tatizo la ghafla, majirani ndio watu wa kwanza kukusaidia). Vitu vidogo kama hivyo vinaweza vikaleta uhasaba wa kudumu
Nimekuelewa sana, mfano mzuri pia.Hamna shida, huvunji sheria.
Nikinunua Harrier kama ya jirani ni vibaya?
hallusinations =hallucinations.Punguza kuwageuza watoto watu usiowafahamu.
Neno FACT lina maana kubwa sana kwenye kujenga hoja. Huna fact.
Unategemea tufanye immaginations za hallusinations zako?