Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Hizo ni biashara za watu.....nunuaHabar zenu mabibi na mababu.
Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari Nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.
Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Raman ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.
Natanguliza Shukrani.
Nicheki whatsap 0679169532 au ni PM.Habar zenu mabibi na mababu.
Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari Nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.
Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Raman ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.
Natanguliza Shukrani.
Changia tu mtoa mada amekulenga wewe na ninaona ushafika site kutema madini, Karibu Jenerali Ushimen
Habari zenu mabibi na mababu.
Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.
Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.
Natanguliza Shukrani.
Yaan siku hiz watu sjui wamekauajr ,kwel mtu aje akupe Raman Bure? Hata sku hizi nashangaa mtu anataka ushaur wa kisheria Bure mitandaoni badala aende Kwa wakili alipe consultation fee,apewe ushaurHabari zenu mabibi na mababu.