Gai da seboga
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 515
- 1,015
Habari zenu mabibi na mababu.
Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.
Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.
Natanguliza Shukrani.