Ramani ya vyumba vitatu

Ramani ya vyumba vitatu

Gai da seboga

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
515
Reaction score
1,015
Habari zenu mabibi na mababu.

Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.

Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.

Natanguliza Shukrani.
 
According to mtoa mada, haya mabibi na mababu mje kuchangia
 
Habar zenu mabibi na mababu.

Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari Nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.

Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Raman ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.

Natanguliza Shukrani.
Hizo ni biashara za watu.....nunua
 
Sinaga baya mwanetu sema sina raman ya kisasa ndo shida ....
Ukiihitaji niambie ...
 
Habar zenu mabibi na mababu.

Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari Nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.

Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Raman ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.

Natanguliza Shukrani.
Nicheki whatsap 0679169532 au ni PM.
Upate Ramani
 
Attachments

  • GridArt_20240526_172747167.jpg
    GridArt_20240526_172747167.jpg
    570.5 KB · Views: 47
  • GridArt_20240526_172413890.jpg
    GridArt_20240526_172413890.jpg
    768 KB · Views: 52
  • GridArt_20240526_172154328.jpg
    GridArt_20240526_172154328.jpg
    717.4 KB · Views: 42
Mkuu tembelea uzi huu kupata design mbalimbali.

Habari zenu mabibi na mababu.

Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.

Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.

Natanguliza Shukrani.
IMG-20240423-WA0008(1).jpg
 
njoo DM NIKUPE RAMANI FREE OF CHARGE,NZURI KABISA
 
Habari zenu mabibi na mababu.

Natarajia kuingia katika ujenzi wa nyumba yangu sasa nimetafakari nimeona nianze na nyumba yenye vyumba VITATU kimoja kikiwa Master, sebule, dining, jiko, store, public toilet.

Kama kuna wajuzi wa michoro ya Ramani naombeni msaada itapendeza ikiwa Ramani ya kisasa zaidi kiasi kwamba mtu akikaa sebuleni anashindwa kuilewa nyumba yote kwa haraka.

Natanguliza Shukrani.
Yaan siku hiz watu sjui wamekauajr ,kwel mtu aje akupe Raman Bure? Hata sku hizi nashangaa mtu anataka ushaur wa kisheria Bure mitandaoni badala aende Kwa wakili alipe consultation fee,apewe ushaur
 
Back
Top Bottom