Ramaphosa azimiwa kipaza sauti baada ya kukosoa vikali Israel kuhusu vita Gaza

Hawezi vile hawatompa kiki matokea yake ndio haya nimeshangaa alivomaliza kuongea akapigiwa na makofi unafki wa kizungu
 
Shetaninyahu anatumia mabilioni ya kodi za watu kulipa watu wa UN wafanye kile walichomfanyia Ramaphosa. Hata hivyo safari hii hana pa kujificha.
Wewe ni sisiminzi tu mbele ya hao wadau wa Dunia. Tafuta hela angalau upenyepenye wakuone wenye Dunia yao
 
If you are silent in the situation of injustice, you are supporting the oppressor. Ukikaa kimya pale haki inapo banangwa na kubagazwa basi utakua umechagua kukaa upande wa mnyanyasaji.
kukaa kimya? Congo waasi wamesababisha watu kukosa makazi e.t.c!! Hajaongea! Sudani ndio usiseme!! Hakuongea!! Je ninakosea kusema anajipenekeza ili aonekane yuko upande wa watu weupe? Fikiria kwa kina utapata jibu!
 
Hili nalo neno, viongozi wa afrika tunashindwa kukemea mauaji ya huko Congo, Sudan etc halafu tunakemea ya huko Mashariki ya Kati, hapo Cabo Delgado msumbiji waasi walianzisha wala hatukusikia kutoka kwa viongozi. inatakiwa tuwe na misimamo thabiti isiyo yumbishwa. Sea ndio vile, viongozi wenye misimamo walishakufa.
 
Soma ulichokiandika tena , ni pumba tupu
 
Yampasa apunguze kupenda kupewa sifa za kijinga, afuate taratibu na kutenda Haki.
sawa lakini mbona kama anajenga legacy ya ku overcome tatizo la foreign dependency.Huoni kama ni njia bora kwa waafrika kujikwamua kisiasa zaidi au.
 
sawa lakini mbona kama anajenga legacy ya ku overcome tatizo la foreign dependency.Huoni kama ni njia bora kwa waafrika kujikwamua kisiasa zaidi au.
Kuifanya Nchi yake iweze kujitegemea kiuchumi hilo ni jambo jema, ila ina mpasa aweke mifumo imara ya kitaasisi, hata siku yeye akimpisha MTU mwingine kiti, nchi inaendelea kusonga mbele kiuchumi.

Asije akalewa madaraka
 
Upo sahihi mkuu kwamba asije akalewa madaraka,hiyo ndo changamoto ya baadhi ya viongozi wa kiafrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…