Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
3,651
Reaction score
11,548
Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi.

Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada yote inayoipa Afrika Kusini

Ramaphosa naye hajamlazia damu akamjibu kupitia ukurasa wake wa X sio kinyonge.
 
20250204_022257.jpg
 
Hamna kitu hapo,
Kajibu kiuoga, bado anahitaji ARV......
Badala ya kutumia kodi ya nchi kusapoti makampuni kama haya yaliyojaribu kujitutumua na kupitishwa na WHO, na ndio maana trump kajitoa WHO, kwa kuwa inasapoti vumbuzi za madawa kwa nchi zisizojipendekeza kwa US

Hamna kitu, ni mwizi wa kodi za nchi yake...
Rudia kusoma, nyama utazikuta chini......
Wagonjwa wa UKIMWI hawawezi kumuelewa Rama wanaogopa watakosa njugu

Hautakiwi kuishi kinyonge sheria za kumiliki ardhi kwa mgeni ni ngumu sana Marekani ila Waafrika mko kimya

Trump anafanya deportation ya wahamiaji haramu dunia inamsifu mzalendo

Acha Wasouth nao waishi kwa sheria zao mandated legal process that ensures public access to land

Mwache Rama naye achukue hatua za kizalendo lakini za kikatiba kama ambavyo watu wanamsifu Trump na kampeni uchwara ya kizalendo Make America Great Again (MAGA)

Ugreat wenyewe kumbe ni kuzipiga tariffs nchi zingine
 
Wagonjwa wa UKIMWI hawawezi kumuelewa Rama wanaogopa watakosa njugu

Hautakiwi kuishi kinyonge sheria za kumiliki ardhi kwa mgeni ni ngumu sana Marekani ila Waafrika mko kimya

Trump anafanya deportation ya wahamiaji haramu dunia inamsifu mzalendo

Acha Wasouth nao waishi kwa sheria zao mandated legal process that ensures public access to land

Mwache Rama naye achukue hatua za kizalendo lakini za kikatiba kama ambavyo watu wanamsifu Trump na kampeni yake ya kizalendo Make America Great Again (MAGA)

Ugreat wenyewe kumbe ni kuzipiga tariffs nchi zingine
Trump ni shetani
 
Trump ni shetani
Umesema vyema

Inakuwaje anataka kuwapangia Wasouth yeye kama nani mpaka aingilie internal affairs za mataifa mengine?

Ukiwa raisi wa Marekani au Waziri mkuu wa Israeli lazima uwe kama Shetani mla damu

Ni viongozi pekee duniani ambao hawawezi kumaliza mihula yao ya uongozi bila kumwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia

Kihalisi ni mashetani!
 
Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi.

Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada yote inayoipa Afrika Kusini

Ramaphosa naye hajamlazia damu akamjibu kupitia ukurasa wake wa X sio kinyonge.
Ungeandika Ramaphosa alivyojibu ili tupime kama ni unyonge au ngangari.
NB;Trump atakuua kwa sonona hadi ubadili id yako safari hii.
 
Umesema vyema

Inakuwaje anataka kuwapangia Wasouth yeye kama nani mpaka aingilie internal affairs za mataifa mengine?

Ukiwa raisi wa Marekani au Waziri mkuu wa Israeli lazima uwe kama Shetani mla damu

Ni viongozi pekee duniani ambao hawawezi kumaliza mihula yao ya uongozi bila kumwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia

Kihalisi ni mashetani!
Tunapoishi lazima tukubaliane kwamba kuna mwamba.Kukaza shingo na kutaka mlingane ndiyo inawaponza mnakula makwenzi ya visogoni.
 
Ungeandika Ramaphosa alivyojibu ili tupime kama ni unyonge au ngangari.
NB;Trump atakuua kwa sonona hadi ubadili id yako safari hii.
Haujaona tweet ya Ramaphosa? Mbona umeongea pumbaa sana sasa Trump ataniuaje kwa sonona?
 
Tunapoishi lazima tukubaliane kwamba kuna mwamba.Kukaza shingo na kutaka mlingane ndiyo inawaponza mnakula makwenzi ya visogoni.
Sawa inawezekana ni mwamba kwa wajinga na cowards ila sio kwa wengine type za akina Ramaphosa
 
Back
Top Bottom