Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

Sasa mtu mzima unashindwa kutofautisha kati ya uoga na kujibu wisely but firmly and clearly

Hauwezi kufananisha alichojibu coward Trudeau wa Canada na Ramaphosa
Ila ukumbuke,Afrique du sud ni nchi ya tatu ukitoa Tanzania na Nigeria kwa kupokea mapesa mengi ya U.S. lazima wasononeke.
 
Ila ukumbuke,Afrique du sud ni nchi ya tatu ukitoa Tanzania na Nigeria kwa kupokea mapesa mengi ya U.S. lazima wasononeke.
Ramaphosa hajasononeka wewe huku Tanzania unaisononokeaje S.A?

Na yeye kasema funding pekee wanazopokea kutoka Marekani ni za UKIMWI tena zinachangia 17% tu

Kwa hiyo wewe unaijua S.A kuliko raisi mwenyewe Cyril?
 
Ramaphosa hajasononeka wewe huku Tanzania unaisononokeaje S.A?

Na yeye kasema funding pekee wanazopokea kutok Marekani ni za UKIMWI tena zinachangia 17% tu

Kwa hiyo wewe unaijua S.A kuliko raisi mwenyewe Cyril?
Kwa hiyo ulivyomuangalia Ramaphosa anavyoongea ukajiaminisha hana sonona?Nunua miwani mkuu.
 
Hamna kitu hapo,
Kajibu kiuoga, bado anahitaji ARV......
Badala ya kutumia kodi ya nchi kusapoti makampuni kama haya yaliyojaribu kujitutumua na kupitishwa na WHO, na ndio maana trump kajitoa WHO, kwa kuwa inasapoti vumbuzi za madawa kwa nchi zisizojipendekeza kwa US

Waafrika tabu kweli, tuna mitishamba, madini, mbuga za wanyama, bahari, ardhi, anga, watu nk ila bado ni watumwa. Tunalilia ARV ni ajabu. Na sisi si tuzuie madini na mafuta
 
Kwa hiyo ulivyomuangalia Ramaphosa anavyoongea ukajiaminisha hana sonona?Nunua miwani mkuu.
Kwa nini uumpangie sonona?

Yaani mtu atoke waziwazi kumjibu an orange clown, utaasema hiyo ni sonona?

Angekaa kimya au kukubaliana naye ungesema kweli Cyril kashikika

Ila mwanaume kajitokeza kamweleza na hajakubaliana naye ngoja tuone mr Maga atakvyokuja kumjibu
 
The real problem with you is hatred against the boss himself Donald Trump.An orange clown,huh?🤣🤣🤣🤣🙏
 
Waafrika tabu kweli, tuna mitishamba, madini, mbuga za wanyama, bahari, ardhi, anga, watu nk ila bado ni watumwa. Tunalilia ARV ni ajabu. Na sisi si tuzuie madini na mafuta
Yaani ukiangalia comments zao zinasikitisha sana bado wana akili za kutawaliwa ukoloni mamboleo

Yaani vijana wa Kitanzania wanaandika ni kama wanaforce ionekane kuwa Africa ina wajibu kuinyenyekea Marekani eti mbabe wa dunia, pathetic!

Haya ndiyo mambo ambayo mataifa yanayojielewa hawataki kuyasikia na ndio maana wanapiga hatua za kimaendeleo
 
Kajibu kinyonge na kinyamkera.

Kasema "we look forward to meeting and discussing our land policy with you...."

Anasubiri kwa hamu kuja kujieleza mbele ya Trump hiyo policy yake ya ardhi imekaaje.

Huyu ni weak and idiotic
character. Hakukuwa na haja ya kumwamwambia Trump nasubiri kwa hamu nafasi ya kujieleza.
 
Yaani ukiangalia comments zao zinasikitisha sana bado wana akili za kutawaliwa ukoloni mamboleo

Yaani vijana wa Kitanzani wanaandika ni kama wanaforce ionekane kuwa Africa ina wajibu kuinyenyekea Marekani eti mbabe wa dunia, pathetic!

Haya ndiyo mambo ambayo mataifa yanayojielewa hawataki kuyasikia na ndio maan wanapiga hatua za kimaendeleo
Sasa hata ukijichukiza ndiyo unataka nchi iendelee kwa poor ideology ya CCM?
 
Alafu SI Kuna watu walisema Wana dawa ya ukimwi hapa Tz, hii ni fursa. Tukiliangalia hili jambo kwa mtazamo chanya tunaweza kunufaika Mimi kipindi Cha corona nilinufaika sana, Mimi na vijana wenzangu tulifungua workshop tuka uza barakoa idadi 8,000. Unadhani tulitengeza kiasi Gani?
 
Kajibu kinyonge na kajitetea! Unajua kingereza kweli?
 
Huyu jamaa anatuuzia uwoga, anajua kucheza na akili za kitumwa. Na target yake ni Africa mbona asiwaguse Asia n.k
Kimsingi anatutegemea sisi waafrica ili warudi kwenye chart ila kwakua hatuna akili viongozi wanashindwa kuwafungua macho wananchi wake, wish Hayati Magufuli angekuwepo.
 
Back
Top Bottom