Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

Ramaphosa kamjibu Trump kwa busara lakini sio kinyonge, ngoja tuone comeback ya babu Trump. Pameanza kuchangamka!

Kajibu kinyonge na kajitetea! Unajua kingereza kweli?
Hivi zile paragraphs 3 za kwanza za Cyril umezielewa?

Kama hauna idea na masuala ya diplomacy huwezi kumuelewa Ramaphosa. Cyril kamjibu babu kidiplomatic sana

Trump ni kiongozi ambaye huwa hana diplomatic views yeye anafikiria kila wakati ni ubabe angalia tofauti ya tweet ya Cyril na ya orange clown
 
Tanzania tumeridhika na misaada ya dawa miaka yote, hatujawahi hata kufanya majaribio ya kutengeneza dawa zetu.

Mchina hababaiki na katazo la Trump.
 
Umasikini ni mbaya sana.Matajiri hutishia kusitosha misaada tu.
 
Umasikini ni mbaya sana.Matajiri hutishia kusitosha misaada tu.
Umesema vyema. Huwezi kuona tweet ya Trump kama aliyosema kuhusu kusitisha misaada kwa S.A akiliambia taifa ambalo halitegemei hata senti 1 ya Marekani
 
"The US remains a key strategic political and trade partner for South Africa. With the exception of PEPFAR Aid, which constitutes 17% of South Africa’s HIVAids programme, there is no other funding that is received by South Africa from the United States." 😀😀😀 Dunia imechangamka.
 
SA ianendelea kuporomoka na wasipoangalia watakuwa kama Zimbabwe.
 
Acheni kubweka kama mbwaa mzee,!
Kila siku mnaombaa misaadaa kwao mnategemeaa nini??.
 
Back
Top Bottom