Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
Hamna kitu hapo,
Kajibu kiuoga, bado anahitaji ARV......
Hamna kitu, ni mwizi wa kodi za nchi yake...Kwa hiyo Ramaphosa ni masikini jeuri sio?
Hamna kitu, ni mwizi wa kodi za nchi yake...
Rudia kusoma, nyama utazikuta chini......
Trump ni shetaniWagonjwa wa UKIMWI hawawezi kumuelewa Rama wanaogopa watakosa njugu
Hautakiwi kuishi kinyonge sheria za kumiliki ardhi kwa mgeni ni ngumu sana Marekani ila Waafrika mko kimya
Trump anafanya deportation ya wahamiaji haramu dunia inamsifu mzalendo
Acha Wasouth nao waishi kwa sheria zao mandated legal process that ensures public access to land
Mwache Rama naye achukue hatua za kizalendo lakini za kikatiba kama ambavyo watu wanamsifu Trump na kampeni yake ya kizalendo Make America Great Again (MAGA)
Ugreat wenyewe kumbe ni kuzipiga tariffs nchi zingine
Trump ni shetani
Wa kulaumiwa ni yule dogo aliyeshindwa kulenga ile risasi ikaishia kupiga sikio, but good tryTrump ni shetani
Ungeandika Ramaphosa alivyojibu ili tupime kama ni unyonge au ngangari.Trump kupitia ukurasa wake wa X aliikosoa serikali ya Afrika Kusini kwa sera yake ya unyakuzi wa ardhi.
Babu kwenye tweet yake alisema Marekani itasimama kuchukua hatua na kusimamisha misaada yote inayoipa Afrika Kusini
Ramaphosa naye hajamlazia damu akamjibu kupitia ukurasa wake wa X sio kinyonge.
Tunapoishi lazima tukubaliane kwamba kuna mwamba.Kukaza shingo na kutaka mlingane ndiyo inawaponza mnakula makwenzi ya visogoni.Umesema vyema
Inakuwaje anataka kuwapangia Wasouth yeye kama nani mpaka aingilie internal affairs za mataifa mengine?
Ukiwa raisi wa Marekani au Waziri mkuu wa Israeli lazima uwe kama Shetani mla damu
Ni viongozi pekee duniani ambao hawawezi kumaliza mihula yao ya uongozi bila kumwaga damu za maelfu ya watu wasio na hatia
Kihalisi ni mashetani!
Ungeandika Ramaphosa alivyojibu ili tupime kama ni unyonge au ngangari.
NB;Trump atakuua kwa sonona hadi ubadili id yako safari hii.
Tunapoishi lazima tukubaliane kwamba kuna mwamba.Kukaza shingo na kutaka mlingane ndiyo inawaponza mnakula makwenzi ya visogoni.
Weka hiyo tweet acha panic!Haujaona tweet ya Ramaphosa? Mbona umeongea pumbaa sana sasa Trump ataniuaje kwa sonona?
Umekuwa mnyinge sana.Unaandika huku unatetemeka.Sawa inawezekana ni mwamba kwa wajinga na cowards ila sio kwa wengine type za akina Ramaphosa
Kasome message #3Weka hiyo tweet acha panic!
Sawa ndugu mchina.Kasome message #3
Umekuwa mnyinge sana.Unaandika huku unatetemeka.