Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kajibu kwa adabu with one eye closed and the other one opened as a hawk.
View: https://twitter.com/CyrilRamaphosa/status/1886319401101910311?t=pl4peqCRkM-h617FQzE1AQ&s=19
"Isipokuwa Misaada ya PEPFAR, ambayo inajumuisha 17% ya programu ya UKIMWI ya Afrika Kusini, hakuna ufadhili mwingine unaopokelewa na Afrika Kusini kutoka Marekani."
–Cyril Ramaphosa
Libabe la dunia kwa sasa.Kweli mimi Nimtetemekee mwanadamu mwenzangu kama nani? Na kwa ajili ya nini?
Hiyo red ipo truth na hiyo ya blue au ya kijivu mara nyingi utazikuta XTofauti ya red tick na Blue tick ni ni kwa watumiaji wa X
Kajibu kwa adabu with one eye closed and the other one opened as a hawk.
Ila ukumbuke,Afrique du sud ni nchi ya tatu ukitoa Tanzania na Nigeria kwa kupokea mapesa mengi ya U.S. lazima wasononeke.Sasa mtu mzima unashindwa kutofautisha kati ya uoga na kujibu wisely but firmly and clearly
Hauwezi kufananisha alichojibu coward Trudeau wa Canada na Ramaphosa
Libabe la dunia kwa sasa.
Ila ukumbuke,Afrique du sud ni nchi ya tatu ukitoa Tanzania na Nigeria kwa kupokea mapesa mengi ya U.S. lazima wasononeke.
Kwa hiyo ulivyomuangalia Ramaphosa anavyoongea ukajiaminisha hana sonona?Nunua miwani mkuu.Ramaphosa hajasononeka wewe huku Tanzania unaisononokeaje S.A?
Na yeye kasema funding pekee wanazopokea kutok Marekani ni za UKIMWI tena zinachangia 17% tu
Kwa hiyo wewe unaijua S.A kuliko raisi mwenyewe Cyril?
Waafrika tabu kweli, tuna mitishamba, madini, mbuga za wanyama, bahari, ardhi, anga, watu nk ila bado ni watumwa. Tunalilia ARV ni ajabu. Na sisi si tuzuie madini na mafutaHamna kitu hapo,
Kajibu kiuoga, bado anahitaji ARV......
Badala ya kutumia kodi ya nchi kusapoti makampuni kama haya yaliyojaribu kujitutumua na kupitishwa na WHO, na ndio maana trump kajitoa WHO, kwa kuwa inasapoti vumbuzi za madawa kwa nchi zisizojipendekeza kwa US
ARV breakthrough: trial in South Africa confirms effectiveness of new drug
The study confirms that dolutegravir is an effective and well-tolerated ARV.theconversation.com
Kwa hiyo ulivyomuangalia Ramaphosa anavyoongea ukajiaminisha hana sonona?Nunua miwani mkuu.
The real problem with you is hatred against the boss himself Donald Trump.An orange clown,huh?🤣🤣🤣🤣🙏Kwa nini uumpangie sonona?
Yaani mtu atoke waziwazi kumjibu an orange clown, utaasema hiyo ni sonona?
Angekaa kimya au kukubaliana naye ungesema kweli Cyril kashikika
Ila mwanaume kajitokeza kamweleza na hajakubaliana naye ngoja tuone mr Maga atakvyokuja kumjibu
Waafrika tabu kweli, tuna mitishamba, madini, mbuga za wanyama, bahari, ardhi, anga, watu nk ila bado ni watumwa. Tunalilia ARV ni ajabu. Na sisi si tuzuie madini na mafuta
Sasa hata ukijichukiza ndiyo unataka nchi iendelee kwa poor ideology ya CCM?Yaani ukiangalia comments zao zinasikitisha sana bado wana akili za kutawaliwa ukoloni mamboleo
Yaani vijana wa Kitanzani wanaandika ni kama wanaforce ionekane kuwa Africa ina wajibu kuinyenyekea Marekani eti mbabe wa dunia, pathetic!
Haya ndiyo mambo ambayo mataifa yanayojielewa hawataki kuyasikia na ndio maan wanapiga hatua za kimaendeleo
The real problem with you is hatred against the boss himself Donald Trump.An orange clown,huh?🤣🤣🤣🤣🙏
Si lazima kumnyenyekea ila ni boss articulated.Trump ain't the boss of me or of folks who take a knee
If Trump is the god emperor of your life shame on you