Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 3,651
- 11,548
- Thread starter
-
- #41
Kajibu kinyonge na kajitetea! Unajua kingereza kweli?
Si lazima kumnyenyekea ila ni boss articulated.
Mchina hababaiki na katazo la Trump.
Upo sahihi sana ingawa ni fukara mnoo.I'm contrary to your foolish opinion, he's yours not me
Sasa hata ukijichukiza ndiyo unataka nchi iendelee kwa poor ideology ya CCM?
Ila sio fukara kwenye mindsetUpo sahihi sana ingawa ni fukara mnoo.
Kasema "we look forward to meeting and discussing our land policy with you...."
Umasikini ni mbaya sana.Matajiri hutishia kusitosha misaada tu.
S.A ni member wa BRICSSA ianendelea kuporomoka na wasipoangalia watakuwa kama Zimbabwe.
Acheni kubweka kama mbwaa mzee,!
Kila siku mnaombaa misaadaa kwao mnategemeaa nini??.