Kwa hiyo wahuni wametutia changa la macho?Kwenye picha kuna mke wa Mwinyi hapo Rais wa Zanzibar, na huyo mwingine ni Permanent Secretary wa Zanzibar...
Cc: Mahondaw
Kwenye picha kuna mke wa Mwinyi hapo Rais wa Zanzibar, na huyo mwingine ni Permanent Secretary wa Zanzibar...
Cc: Mahondaw
Dah! chief umewaza mbaliiii!!!!!!!!!!!Tunaambiwa Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir alikuwa na wake watatu, basi ni busara rambirambi zitagawanywa kwa usawa hasa kwa bi mdogo.
Ni hayo tu kwa leo.