Ramli: Lady Jaydee kuolewa mara ya pili

Ramli: Lady Jaydee kuolewa mara ya pili

Huyo advocate yupoje na umbea wangu cmjui
warumi tutakuvua cheo cha MBEA ALIYESHINDIKANA AFRICA MASHARIKI maana naona kinakupwaya sasa.
Yaani humjui mchepuko wa boss wako?
 
Last edited by a moderator:
warumi tutakuvua cheo cha MBEA ALIYESHINDIKANA AFRICA MASHARIKI maana naona kinakupwaya sasa.
Yaani humjui mchepuko wa boss wako?

Ndio namshangaaaaa nami
 
Last edited by a moderator:
Shauri zake.Yule ndiye anayempa bibie jeuri mjini hapa.Kwani ile Nyumbani lounge nani alitoa mkwanja? Mziki unamlipa ila ana buzi lake na yeye...lol

Labdaaa lakini ana moyo maana kulala na babu ni kipaji
 
warumi tutakuvua cheo cha MBEA ALIYESHINDIKANA AFRICA MASHARIKI maana naona kinakupwaya sasa.
Yaani humjui mchepuko wa boss wako?

Namheshimu boss wangu jaman ndo maana sitaki kumchimba jaman, kibarua kitaota nyasi
 
Last edited by a moderator:
Hivi Dinazarde na warumi mliona line nundu la Wema na ile michirizi kule mgongoni kwenye in my shoes iliyopita walivyokua wanapiga picha kitandani na Ommy Dimpoz?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Dinazarde na warumi mliona line nundu la Wema na ile michirizi kule mgongoni kwenye in my shoes iliyopita walivyokua wanapiga picha kitandani na Ommy Dimpoz?

Sikuona weka basi picha ni nione au niende wapi nikaone episode ya ngapii
 
Last edited by a moderator:
Wewe unamuonaje Jide? Yule mwanamke ni komando aisee.
Hata mimi siwezi maana nimevuta picha hadi nimejisikia kinyaa!

Na hiv kembamba kazee kawatu kanapelekeshwajee
 
Sikuona weka basi picha ni nione au niende wapi nikaone episode ya ngapii

Jamaniiii pole shoga maana ndio walikua wanairudia ndio maana nimekumbuka ila ile sehemu ya picha imeshaisha bado ya birthday ya Kadinda.
Wema ana nundu kubwa jamani acha tu.Pia kidevu nasikia kakifanyia surgery kukipunguza.
 
Na hiv kembamba kazee kawatu kanapelekeshwajee

Mhhhhh shoga tuishie hapa hapa wajanja wataunganisha dots tusijefungwa na advocate maana hata ushahidi wa picha hakuna.
 
Back
Top Bottom