Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni yule advocate au??
Kwan ni maarufu?
Kwan ni maarufu?
Yule ni maarufu bwana, kuna asiyemjua?
Ila yule naye na umri wote atakua bado hajaoa tu?
Mmmmh,ishia hapohapo maana umeshagusa pabaya.
Ni nani zaidi yake?
Heheee kuna ndugu yake na huyo advo..hua ananibishia eti si kweliii kua wana mahusiano
Shauri zake.Yule ndiye anayempa bibie jeuri mjini hapa.Kwani ile Nyumbani lounge nani alitoa mkwanja? Mziki unamlipa ila ana buzi lake na yeye...lol
Huyo advocate yupoje na umbea wangu cmjui
Labdaaa lakini ana moyo maana kulala na babu ni kipaji
Wewe unamuonaje Jide? Yule mwanamke ni komando aisee.
Hata mimi siwezi maana nimevuta picha hadi nimejisikia kinyaa!
Sikuona weka basi picha ni nione au niende wapi nikaone episode ya ngapii
Na hiv kembamba kazee kawatu kanapelekeshwajee