kwani tukiusubiri huo muda kuna Rais atakaeitawala au kuiongoza nchi yake milele... otherwise useme huo muda ni mpaka lini.Kumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
Kwani sheria inasemaje, lazima apigane vita ngapi ndio aweze kuitwa Mbabe wa kivita?eti mbabe wa vita kapigana vita ngapi uyu mpaka umuite jina ilo
Unaijua vita ya Chechnya kweli?..eti mbabe wa vita kapigana vita ngapi uyu mpaka umuite jina ilo
Wewe ni jasusi la CIA la tandaleKumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
Biden anaenda kuangukia pua 2024. Aseme Putin mwisho wake ni lini?kwani tukiusubiri huo muda kuna Rais atakaeitawala au kuiongoza nchi yake milele... otherwise useme huo muda ni mpaka lini.
Huyu wa kupiga tuPoland wana kimbelembele ikitokea bahati mbaya russia akawavamia hakuna nchi ya nato itakayoingia zaidi ya kukimbilia vikwazo
Wee nani hadi uchimbe mkwara mbuzi kihivyo? Leta video clip acha poyoyo.Kumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
Dah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ramzan mujahid, dunia ipo sehem tamu sn maana America soon anapigwa mtungo watu wameshachoka umama