Ramzan Kadyrov, mbabe wa kivita wa Chechnya, kaiambia Poland bora ichukue silaha zake Ukraine, kwani Poland ndiyo inayofuata baada ya Ukraine

Kumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
kwani tukiusubiri huo muda kuna Rais atakaeitawala au kuiongoza nchi yake milele... otherwise useme huo muda ni mpaka lini.
 
[emoji3538][emoji3538][emoji3538]Mario Draghi Italian premier "I asked Putin for a ceasefire Putin replied it's not the time"[emoji3538][emoji3538][emoji3538]
 
kwani tukiusubiri huo muda kuna Rais atakaeitawala au kuiongoza nchi yake milele... otherwise useme huo muda ni mpaka lini.
Biden anaenda kuangukia pua 2024. Aseme Putin mwisho wake ni lini?
 
Kumbe ushabiki bila uhalisia Kazi kubwa Sana.Kwa hiyo Kuna watu bado mnaaminu Urusi atashinda hii vita? Poleni Sana ,hii vita Urusi anashindwa na Kwa kuwasaidia huu ndiyo mwisho wa Putin kama Rais wa Urus na Duniani pia,anaebisha asubili muda utupe majibu
Wee nani hadi uchimbe mkwara mbuzi kihivyo? Leta video clip acha poyoyo.
 
Ramzan mujahid, dunia ipo sehem tamu sn maana America soon anapigwa mtungo watu wameshachoka umama
 
Back
Top Bottom