Random Sex

Ni kweli kabisa kuna namna unaweza kuambukizwa bad vibes au good vibes kwa njia ya sex na hata kuzungumza na kushikana mikono ,kuna watu ukikutana nao tu lazima uaribu siku yako nzima , au siku yako iwe ya furaha .
Tuwatafute na kuwachambua watu wenye good vibes wawe wanashikana mikono pamoja na kufanya ngono na masikini na watu waliopigika kiasi cha kukatia tamaa maisha,

Pia tuwafanye watu wenye good vibes viongozi wetu.
 
Unaweza kuwa maskini wa kila kitu ila una good vibes na una weza kuwa tajiri ila ikawa kinyume chake , umaskini ni sisi tumeutengeneza wenyewe pale tulipo amua kila kitu kipatikane kwa kukitafuta na kukipa thamani , unaweza kutafuta na ukakosa na pia ukapata inategemeana na mazingira , na nafasi mbalimbali.
 
Unaweza kuwa maskini wa kila kitu ila una good vibes na una weza kuwa tajiri ila ikawa kinyume chake ,
Bora tu kuwa tajiri mwenye bad vibes mkuu, masikini kapuku good vibes zinakusaidia nini sasa🤣
 
Bora tu kuwa tajiri mwenye bad vibes mkuu, masikini kapuku good vibes zinakusaidia nini sasa🤣
Hakuna sababu ya maana ya wewe kuwa tajiri mkubwa mwenye mali nyingi ,na huku wengine wanakosa mlo mmoja wa siku .
 
Hakuna sababu ya maana ya wewe kuwa tajiri mkubwa mwenye mali nyingi ,na huku wengine wanakosa mlo mmoja wa siku .
Ndio maana kuna serikali,
Ni wajibu wa serikali kuwagaia chakula na kuwatunza raia wake masikini wasiojiweza.
 
Ndio maana kuna serikali,
Ni wajibu wa serikali kuwagaia chakula na kuwatunza raia wake masikini wasiojiweza.
Serikali ni pamoja na mimi na wewe pia hauwezi kuwa tajiri mkubwa bila mkono wa serikali labda uishie kama matajiri wetu wa huko uchochoroni .
 
There's energy exchange ila kuona changes au effects zake lazima uwe spiritual pia.
Kweli kabisa, bila kuwa spiritual huwezi elewa. Pia kutokuwa spiritual haimaanishi huwezi kuwa affected.
 
Am not sure if there is so called energy transfer during sex, may be because i did it once in my life.
 
Am not sure if there is so called energy transfer during sex, may be because i did it once in my life.
Well, the fact that you have committed such act only one time , doesn't make the energy concept impossible.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…