Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Tuwatafute na kuwachambua watu wenye good vibes wawe wanashikana mikono pamoja na kufanya ngono na masikini na watu waliopigika kiasi cha kukatia tamaa maisha,Ni kweli kabisa kuna namna unaweza kuambukizwa bad vibes au good vibes kwa njia ya sex na hata kuzungumza na kushikana mikono ,kuna watu ukikutana nao tu lazima uaribu siku yako nzima , au siku yako iwe ya furaha .
Pia tuwafanye watu wenye good vibes viongozi wetu.