utakuta kuna watu wataingia nayo Dakar Rally. Magepu sio pouwa kabsa
Ahaaaaaa ni siku ambayo kama utani acount ikasoma tofauti na sasaNdio siku gani hiyo mkuu
This is my dream car....brand new or not more than 5yrs old! One day yes!
Jamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!Sina la ziada zaidi ya kumuomba mungu apokee ndoto yako na aigeuze iwe .........in Sha Allah
Ila Kaka hiyo machine si mchezo na nahisi wao wenyewe wanaweza kuchukua miaka kadhaa kuja kutoa toleo la kuipiku hii ya 2022
AmazingUkiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...
Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono😃, ngoma haikufikiri mara 2..
Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..
Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..
Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile😃
That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..
AmeenJamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!
Amen dua zisikike
Wamepata faida ya kuwa wa mwisho kwenye kuscore n they score big........km vile kwenye sarakasi,unawaacha wabinukebinuke wewe unakuja mwisho unapiga sommersorte za kufa mtu😀😀😀😀Jamaa wameacha Toyota na Nissan wamekukuruka na matoleo Yao wao wakamaliza kabisa!
Amen dua zisikike
Mleta mada kwani hii chuma sh ngapi bana? Nawaza nikiwa na gari zangu tatu, ni mfano tu zote nikazipiga bei, mfano nina VW, crown, nina... i mean murano nikaongezea vipesa kidogo si ninavuta hii chuma? Nawaza tu.Land rover shikamoo! Mashallah....ipo siku
View attachment 1991506
Hii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zakeKwa hii range sh ngapi mleta mada?
Mleta mada kwani hii chuma sh ngapi bana? Nawaza nikiwa na gari zangu tatu, ni mfano tu zote nikazipiga bei, mfano nina VW, crown, nina... i mean murano nikaongezea vipesa kidogo si ninavuta hii chuma? Nawaza tu.
Umekimbia XC90 ile mpya?This is my dream car....brand new or not more than 5yrs old! One day yes!
Ha ha! Kweli cheaper option!Ile ipo tu... cheaper option.
300 ,vita na TRA humohumo au inakuwa bado hawajakuvimbisha macho???Hii inabidi usiwe na chini ya 300m. Trust me hizo ulizotaja ukiuza hupati hata hizo wheels zake
Disco hana mpinzani aisee yaan kwa Road nawakimbizaaaaa wenye vieite balaa halafu were kiduchuuuuuu full tank mbeya daslam,taa inawakia kibaha,na inaniambia bado nna km 60 taa ikiwaka. Iheshimu sana chuma ya mzungu aiseeeUkiachili mbali designing yake, niliona video SUV zikifanyiwa off road test, Ilikuwepo LC, Jeep Grand Cherokee, Nissan patrol, bmw x6, bmw x7, audi q7 na nyinginezo nyingi, asee RR ili score vizuri mno kuliko gari zote...
Kuna sehemu gari nyingi zilikuwa zinakwama, zile nyengine zikawa zinapita kwa tabu sana, RR ilipita pale mzee mpaka nikanyoosha mikono[emoji2], ngoma haikufikiri mara 2..
Hawa waliovamia fani ya SUV, akina Rolls Royce na Lamborghini inabidi wasubiri asee..
Gari nyengine ya kinyama sana na safety hasa kwenye ajali ni Mercedes G-wagon..
Kwenye nguvu hivi Discovery ana mpinzani kweli? Sio kwa power ile[emoji2]
That's why VIP wanazikubali sana hizi gari..