Range Rover 2022

Range Rover 2022

Jamaa wanajua kutoa kazi.
Pic_1635584851425.jpg
Pic_1635584809356.jpg
Pic_1635584784300.jpg
Pic_1635584751646.jpg
Pic_1635584731842.jpg
 
Duh pesa sabuni ya roho!
Jamaa hawakoseagi yani!
Yani hii gari through Generations inakuwaga iko bomba tu haijawahi kuharibiwa shape! Kuanzia classic mpaka lile P38 liko mwake sana!

Range Rover toleo la 2006-2012 tu ndio naona lilikuwa baya kwa upande wangu! Ila kuanzia 2013-Present wanatambaa na chaki tu yani kitu juu ya kitu!
 
Kwa sababu ndio toleo la wenye fweza kwa kampuni ya Landrover...
Yapo magari hayana mvuto bana kama Koinisegg yani kigari kimekaa shapeless hovyo kabisa japo magari ya hela ndefu ila yanaboa!

Katika gari zenye elegance styling ni Range Rover! They look so tidy and refined japo sio gari imara sana ni money pits ila kwa kuuzia sura lipo njema!
 
Hii picha nimeiona wiki iliyopita nikahisi ni concept image ya hiyo ndinga kumbe ni reality....
Kuanzia mwakan tutayaona haya Magari hapa bongo hasa Kwa wahindi na waarabu.
Hata land cruiser 300 series tutaiona Tu kuanzia mwakan maana hapa bongo kuna wabishi wanasukuma mipira ya hatari barabaran
 
Hizi gari nazikubali sana na zimetulia barabarani
Nakumbuka nilimpelekea Leigh Halfpenny Range autobiography brand new ilikuwa Silver na ndani dashboard Red

Wachezaji maarufu huwa wanapewa bure ili ku advertise
Autobiography zina extra kibao na ndio ziko juu kwa bei hata Jags

Ntajipiga ya umeme ila nasubiri kidogo
 
Jana nilienda kwenye B'day ya mshkaji nimerudi home na keki iliyobaki.

Nimechelewa kuamka ili ninywe chai mpakani asubuhi na mchana.

So saa hii nakunywa chai na keki ya birthday.

Naruhusiwa kusema 'One day yes' juu ya hii ndinga?

Unaruhusiwa kusema “yes” pale ambapo ikiwa umeanza kuamka mapema kujituma[emoji110] na sio kulala kifurushi cha masaa 24
 
Back
Top Bottom