Rodwell mTZ
JF-Expert Member
- Nov 16, 2012
- 1,594
- 1,806
Ni jambo la aibu kutafsiriwa lugha ya kiingereza,yaani mtu mzima unakuwa hujui lugha ya kimataifa?
Airtag ni kifaa cha kampuni ya iphone, tayari wana soko kubwa sana, ni kampuni ya pili duniani kwa kuwa na thamani kubwa, bajeti za matangazo yao ni sawa na bajeti yetu ya wizara nzimaW
Huwenda hii ni promosheni ya app
Itakua labda zile gari za Bima ambazo wamiliki wanauza harafu ikishatoka nje ya mipaka ya SA anatoa taarifa mmiliki au kampuni kuwa imeibiwa ili apewe lingine ila sio gari la mtu achukue kwa bunduki lije Tanzania harafu iishe hivi hivi hiyo hapana..Kuna mwaka serikali ya Zbr ilinunua Benz la Rais lililoibiwa toka SA
Kwani yenyewe haina tracking😎😎Kofia atakua nayo mwizi wake huko huko ulaya
Hata sijui lakini ilivuma sana BBC kipindi hicho "Sakata la Benz la Salmin..." nadhani ilikuwa 1995, 6 au 7 ngoja watusaidie Pascal Mayalla na Mshana Jr huenda wanakumbukaItakua labda zile gari za Bima ambazo wamiliki wanauza harafu ikishatoka nje ya mipaka ya SA anatoa taarifa mmiliki au kampuni kuwa imeibiwa ili apewe lingine ila sio gari la mtu achukue kwa bunduki lije Tanzania harafu iishe hivi hivi hiyo hapana..
Mama anahusikaje sasaMama ameifungua nchi!!
NaamHata sijui lakini ilivuma sana BBC kipindi hicho "Sakata la Benz la Salmin..." nadhani ilikuwa 1995, 6 au 7 ngoja watusaidie Pascal Mayalla na Mshana Jr huenda wanakumbuka
Na Mimi Nilikua namuwaza huyo huyo, dahKwahiyo mwanetu Lukosiii kayatimba?.
KUMBE wewe ni mkongwe?! Yes ilikua hivyo hio storyHata sijui lakini ilivuma sana BBC kipindi hicho "Sakata la Benz la Salmin..." nadhani ilikuwa 1995, 6 au 7 ngoja watusaidie Pascal Mayalla na Mshana Jr huenda wanakumbuka
Haswa hiz Yard za magar zinazokua kama uyoga,kila mtaa ukipiga hatua mita 50 lazima ukut3 yard mpaka uswahil ndan ndani,Nakumbuka miaka ile ya 2000 watoto wa mjin wakina Idd janguo,mponjoli walivyokua wanaiba magar ulaya nakuyatuma Africa ikiwemo Tanzania mana miaka ile ziliingia sana Hummer4,ferrari,bmw,benz..mengine yalikua yanaibiwa south africa ile hali ilidhibitiwa lakn imerudi kama uyoga hiz yard za mitaan magar meng ni ya wizi mtandao ni mkubwaHaya maswala ya kuagiza magari used toka nje ya nchi nayo ni changamoto. Unatakiwa uwe makini sana.
Niliona mini documentary moja wakielezea wizi wa hivyo hivyo ila wao walikuwa wanapeleka west Africa.Wanaoingiza ma range tz from UK kazi kwenu