Kuna sehemu nimekosoa range mdau?Mkuu hiyo ishu ipotezee pana hii Audi Q 3 na Q 5 nazo hatuwezi kuzikosoa harafu mnavuka mipaka mpaka Range Rover mna balaa ninyi...au BMW X 5 ya 2018 kuendelea ni jiwe balaa...
Ana hamu na ugonjwa wa Presha a.k.a kupoozaSababu ya kupenda Volvo na Audi ni ipi?
Huyu mwamba wese lake labda uwe unaishi KSA
Sahihi ikiwa mpya ila tembelea japo service usipeleke gereji za uswahilini peleka approved service provider ok charge ya service itakuwa juu.lakini tembelea miaka minne uza baada ya hapo itakuwa pasua kichwa kidogo kidogo kutegemea mileage umetembelea .
Kama ni ya hapa mjini tu miaka saba uza kama ulinunua mpya hata kama mileage ndogo uzuri kama ulinunua direct kupitia approved agent wa Benzi wataiweka sokoni na kuipa guarantee mtu akinunua used kwao but of course itakuwa at a loss you can't recover hata fifty percent ya bei ulinunua sana sana utalipwa robo bei
Ukienda mtaani hiyo robo bei hupati hata mileage ziwe ndogo vipi
Watu hawaamini kununua gari ya mkononi hasa benzi na Range Rover mkono wa mtu kuwa iko fit wanaamini unauza sababu ina shida
Last month nilikuwa Mtwara, kuna mtu alikuwa anapush audi Q7 ni hatarMkuu hiyo ishu ipotezee pana hii Audi Q 3 na Q 5 nazo hatuwezi kuzikosoa harafu mnavuka mipaka mpaka Range Rover mna balaa ninyi...au BMW X 5 ya 2018 kuendelea ni jiwe balaa...
Escalade daa hiyo na Lincoln Navigator ni za uhakika mwenye nazo kwa miji yenye parking na barabara kubwa sawaHadi mtu anaenda kwa dealers kuchukua ndinga fulani ya pesa ndefu, it means anauwezo wa huihudumia kila kitu.
Tuishi kwa urefu wa kamba[emoji41]
View attachment 2512008
HaswaAudi ina muonekano mzuri sana.
Volvo zile taa za nyuma ndo zinakuwa jau sana.
Huyo mnyama ana balaa harafu unakuta mvimba macho analikosoa muda mwingine nabaki kuwasoma tuu...Last month nilikuwa Mtwara, kuna mtu alikuwa anapush audi Q7 ni hatar
Escalade ni kama subaru kiaje mkuu?kaka wanaojua magari watakucheka ww[emoji28] hiyo ni kama subaru marekani na hata ukiangalia cost zake za TRA bongo ni kama mil 180 kwaiy ni gari ya kawaida sana...
Ulimaanisha nini mkuu kusema hayana maajabu?Magari ya kimarekani hasa SUV hayana maajabu sana!
Yanakula sana mafuta, mengi ni V8 Petrol, yanachoka mapema sana.
Likianza kuchoka utalikimbia.
Hayana muonekano mzuri( big for nothing), ila kama mtu unapenda gari yenye space basi suv za kimarekani zitakufaa.
Hamna jipya ukilinganisha na suv za mjapan Au mzungu. They are big, gas guzzler and unreliableUlimaanisha nini mkuu kusema hayana maajabu?
Watanzania kipaumbele kwenye kununua gari huwa ni mafuta kwanza mengine baadae..Hamna jipya ukilinganisha na suv za mjapan Au mzungu. They are big, gas guzzler and unreliable
Mmarekani nae ni mzungu.Hamna jipya ukilinganisha na suv za mjapan Au mzungu. They are big, gas guzzler and unreliable
European suvsMmarekani nae ni mzungu.
Hapana mkuu ulaji wa mafuta unategemea na injini iliyomo kwanini umechagua inayokula mafuta sana ili hali mpk za 3.0L tena diesel zipo?stick on your choice.Range Rover, Volvo, Benz, Audi Nk.
Ni gari za Matajiri wenye uwezo wa Kuagiza spea toka Nje muda wowote ule.
Injini ya Range inakula Petroli kama gari kubwa.
Wengi waliozinunua ktk makampuni ya miradi wameishia kuzipiga mnada au kuzipaki uani shauri ya ghalama za mafuta tu.
Kwa walio wengi wetu huku Africa, Toyota ndio chaguo sahihi.
Sio mzoefu sana wa Magari lakini karibu Range Rover zote nilizo ziona ni 8 Cylinder engine.Hapana mkuu ulaji wa mafuta unategemea na injini iliyomo kwanini umechagua inayokula mafuta sana ili hali mpk za 3.0L tena diesel zipo?stick on your choice.
Nilivyo ishi nimegundua kuwa kuna Car-Gender.
Aisee Range Rover County, Classic au lile 2 Door CSK(Charles Spenser King) aisee zili tisha sana wakati ule, na ule mngurumo wake wa Simba wa V8 petrol ni balaa, na Bank zilikua hazi simami mpaka police walipo letewa yale ma VW Transporter Syncro 4X4 ndio ikawa ruksa ku simama bankHili gari nalipa heshima sana toka lile ambalo Mwalimu alilipiga marufuku Bank likitembea lilikua na muungurumo kama kundi la nyuki linakufata...