Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Huyu mwamba wese lake labda uwe unaishi KSA

Hadi mtu anaenda kwa dealers kuchukua ndinga fulani ya pesa ndefu, it means anauwezo wa huihudumia kila kitu.

Tuishi kwa urefu wa kamba[emoji41]

IMG_3697.jpg
 
Sahihi ikiwa mpya ila tembelea japo service usipeleke gereji za uswahilini peleka approved service provider ok charge ya service itakuwa juu.lakini tembelea miaka minne uza baada ya hapo itakuwa pasua kichwa kidogo kidogo kutegemea mileage umetembelea .
Kama ni ya hapa mjini tu miaka saba uza kama ulinunua mpya hata kama mileage ndogo uzuri kama ulinunua direct kupitia approved agent wa Benzi wataiweka sokoni na kuipa guarantee mtu akinunua used kwao but of course itakuwa at a loss you can't recover hata fifty percent ya bei ulinunua sana sana utalipwa robo bei

Ukienda mtaani hiyo robo bei hupati hata mileage ziwe ndogo vipi

Watu hawaamini kununua gari ya mkononi hasa benzi na Range Rover mkono wa mtu kuwa iko fit wanaamini unauza sababu ina shida

Sasa ununua ndinga zaidi ya 200m then upeleke service uswahilini??? Naaah, it doesn’t make sense mkuu.

Mtu hadi atoe kibunda hivyo anajiweza haswaa.
 
Hadi mtu anaenda kwa dealers kuchukua ndinga fulani ya pesa ndefu, it means anauwezo wa huihudumia kila kitu.

Tuishi kwa urefu wa kamba[emoji41]

View attachment 2512008
Escalade daa hiyo na Lincoln Navigator ni za uhakika mwenye nazo kwa miji yenye parking na barabara kubwa sawa

American Cars zipo ninazozipenda ila sio SUV
 
Last month nilikuwa Mtwara, kuna mtu alikuwa anapush audi Q7 ni hatar
Huyo mnyama ana balaa harafu unakuta mvimba macho analikosoa muda mwingine nabaki kuwasoma tuu...
 

Attachments

  • 20230207_121727.jpg
    20230207_121727.jpg
    493.8 KB · Views: 36
  • 20230207_121703.jpg
    20230207_121703.jpg
    570.1 KB · Views: 31
  • 20230207_122217.jpg
    20230207_122217.jpg
    566.6 KB · Views: 35
  • 20230207_121751.jpg
    20230207_121751.jpg
    728.3 KB · Views: 33
kaka wanaojua magari watakucheka ww[emoji28] hiyo ni kama subaru marekani na hata ukiangalia cost zake za TRA bongo ni kama mil 180 kwaiy ni gari ya kawaida sana...
Escalade ni kama subaru kiaje mkuu?
Huo ukawaida wake ni upi?

Status ya wanaomiliki Escalade bongo inatosha kujustify kuwa hilo siyo gari la kawaida!!!
 
Magari ya kimarekani hasa SUV hayana maajabu sana!

Yanakula sana mafuta, mengi ni V8 Petrol, yanachoka mapema sana.
Likianza kuchoka utalikimbia.

Hayana muonekano mzuri( big for nothing), ila kama mtu unapenda gari yenye space basi suv za kimarekani zitakufaa.
Ulimaanisha nini mkuu kusema hayana maajabu?
 
Range Rover, Volvo, Benz, Audi Nk.
Ni gari za Matajiri wenye uwezo wa Kuagiza spea toka Nje muda wowote ule.
Injini ya Range inakula Petroli kama gari kubwa.
Wengi waliozinunua ktk makampuni ya miradi wameishia kuzipiga mnada au kuzipaki uani shauri ya ghalama za mafuta tu.
Kwa walio wengi wetu huku Africa, Toyota ndio chaguo sahihi.
 
Range Rover, Volvo, Benz, Audi Nk.
Ni gari za Matajiri wenye uwezo wa Kuagiza spea toka Nje muda wowote ule.
Injini ya Range inakula Petroli kama gari kubwa.
Wengi waliozinunua ktk makampuni ya miradi wameishia kuzipiga mnada au kuzipaki uani shauri ya ghalama za mafuta tu.
Kwa walio wengi wetu huku Africa, Toyota ndio chaguo sahihi.
Hapana mkuu ulaji wa mafuta unategemea na injini iliyomo kwanini umechagua inayokula mafuta sana ili hali mpk za 3.0L tena diesel zipo?stick on your choice.
 
Hili gari nalipa heshima sana toka lile ambalo Mwalimu alilipiga marufuku Bank likitembea lilikua na muungurumo kama kundi la nyuki linakufata...
Aisee Range Rover County, Classic au lile 2 Door CSK(Charles Spenser King) aisee zili tisha sana wakati ule, na ule mngurumo wake wa Simba wa V8 petrol ni balaa, na Bank zilikua hazi simami mpaka police walipo letewa yale ma VW Transporter Syncro 4X4 ndio ikawa ruksa ku simama bank
 

Attachments

  • range-rover-chieftain-8-1516283669.jpg
    range-rover-chieftain-8-1516283669.jpg
    78.8 KB · Views: 39
  • RR_1-First_Generation_Lineage_Side Profile_261021_01.jpg
    RR_1-First_Generation_Lineage_Side Profile_261021_01.jpg
    313.8 KB · Views: 27
Back
Top Bottom