Range Rover liheshimiwe

Kuweka mafuta ya 10k kwenye 5l engine ni kujitafutia presha.

Lazima ikushinde.
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range πŸ€—πŸ€—πŸ€— my dream car
Shida sio gari shida Ni Nani huyo wa kukwambia chagua
 
Kitu kukubalika kwa wingi haimaanishi ni bora, hata kikiwa affordable kinaweza kisiwe bora pia, kipato cha mtanzania in majority Kinamruhusu kuwa na option ya brand nyingine ya magari, uzuri wa kitu unapimwa pale ambapo majority wenye uwezo wa kuwa na option nyingi lakini wakachagua kitu cha aina moja. Mfano. Mimi na wote tunaafford kununua chips na ugali lkn wote tunakununua ugali mana ake ugali ndo quality kwetu
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range πŸ€—πŸ€—πŸ€— my dream car
Ok
 
Hakika ni Gari nzuri maana ukienda service milioni sio hela lakini uzuri wake Spea Zake zina bei sana Ndio uzuri wake hongera sana Mungu akusaidie ulipate
 
HSE The Beast Itself
 
Attachments

  • 80539b440d834e3686baeeea66a7cfb0.jpg
    46.4 KB · Views: 19
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range πŸ€—πŸ€—πŸ€— my dream car
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…