Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Range Rover, Volvo, Benz, Audi Nk.
Ni gari za Matajiri wenye uwezo wa Kuagiza spea toka Nje muda wowote ule.
Injini ya Range inakula Petroli kama gari kubwa.
Wengi waliozinunua ktk makampuni ya miradi wameishia kuzipiga mnada au kuzipaki uani shauri ya ghalama za mafuta tu.
Kwa walio wengi wetu huku Africa, Toyota ndio chaguo sahihi.
Kuweka mafuta ya 10k kwenye 5l engine ni kujitafutia presha.

Lazima ikushinde.
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Shida sio gari shida Ni Nani huyo wa kukwambia chagua
 
Kuna mtifuano umezuka twitter kule.

Kuna mtu analeta ushabiki anapewa fact lakini helewi,kuna range halafu kuna gari linaitwa LC, hapo tunataja V8 zote mpaka hiyo mpya ya V6 2022.kwanza linauzika,pili sio gharama kulimiliki,na linahimiri mazingira yetu ya juakali na barabara za ahadi za uchaguzi.

Hiyo gari kwa namna ilivyopokelewa mtaani ni ishara njema sana kwamba toyota wameupiga mwingi kuanzia serikalini mpaka kwa mabro wenye kiburi hapa nchini.hilo range watu wana uwezo wa kuyanunua lakini wanayapotezea.
Kitu kukubalika kwa wingi haimaanishi ni bora, hata kikiwa affordable kinaweza kisiwe bora pia, kipato cha mtanzania in majority Kinamruhusu kuwa na option ya brand nyingine ya magari, uzuri wa kitu unapimwa pale ambapo majority wenye uwezo wa kuwa na option nyingi lakini wakachagua kitu cha aina moja. Mfano. Mimi na wote tunaafford kununua chips na ugali lkn wote tunakununua ugali mana ake ugali ndo quality kwetu
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Ok
 
Hakika ni Gari nzuri maana ukienda service milioni sio hela lakini uzuri wake Spea Zake zina bei sana Ndio uzuri wake hongera sana Mungu akusaidie ulipate
 
HSE The Beast Itself
 

Attachments

  • 80539b440d834e3686baeeea66a7cfb0.jpg
    80539b440d834e3686baeeea66a7cfb0.jpg
    46.4 KB · Views: 19
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
1738422677663.png
 
Back
Top Bottom