Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Nimewaza tu kwasababu birthday yangu mtu anaweza amua anizawadie gari na mimi

[emoji38][emoji38]birthday upewe range[emoji23][emoji23]

Kuota vikubwa ni maono,sema unaota vikubwa ktk mambo ya kipuuzi,inatakiwa hata uwaze siku ukibahatika kuzishika hela zako,utajinyakulia range yako ya kutukuka,sio kuhongwa kisa umetimiza miaka kadhaa.
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
Kila mtu huwa ana ndoto kubwa kulingana na mazingira yake. Mtu aliyepo bush kusiko na barabara, ndoto yake kubwa ni kuwa na punda kibao.
 
[emoji38][emoji38]birthday upewe range[emoji23][emoji23]

Kuota vikubwa ni maono,sema unaota vikubwa ktk mambo ya kipuuzi,inatakiwa hata uwaze siku ukibahatika kuzishika hela zako,utajinyakulia range yako ya kutukuka,sio kuhongwa kisa umetimiza miaka kadhaa.
Sijasankuhongwa af mimi wakiume zawadi umajua mimi marafiki zangu wako na pesap
 
Sijasankuhongwa af mimi wakiume zawadi umajua mimi marafiki zangu wako na pesap

IMG_0581.jpg

Kwahiyo unamaanisha kama mmoja ataamua kukupa moja siku ya birthday,sawa mike[emoji13][emoji13]
 
Back
Top Bottom