Range Rover liheshimiwe

Range Rover liheshimiwe

Mwanaume rijali hawezi jinasibisha na kajala achilia mbali ushikaji tuu

Wewe ni disgrace.... utakua Gay tu hata kwa hii thinking yako.
Sawa mzee yaishe sawa mambo yasiwe mengi tusije vunjiana heshima
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Hii tamaa ukishindwa kui control utakuja kupumuliwa kimasihara.

Take care.
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range [emoji847][emoji847][emoji847] my dream car
Naikubali sana
 
Guys poleni na majukumu

Range ni gari ambayo haina mpinzani ni gari zuri sana na la heshima natamani sana kumiliki kama inatokea mtu ananiambia nichague gari basi nitachagua range 🤗🤗🤗 my dream car
hii hoja haipingwi..
 
Mwanaume rijali hawezi jinasibisha na kajala achilia mbali ushikaji tuu

Wewe ni disgrace.... utakua Gay tu hata kwa hii thinking yako.
Ngoja niangalie huba kubishana na ww siwezi nisije kukosea heshima na uzee uho
 
Screenshot_20230207-210033.png

Back
Top Bottom