Range Rover Velar VS Land Cruiser Prado

Yan mtu anayefikiria kununua magari hayo hawezi kuwa na mtazamo wa namna hiyo
Nikupe ushauri Mkuu, usimjaji mtu.

Sababu baadhi yenu wachache mmeongea hili acha nielezee kidogo.

Kwanza ananunuliwa na Mumewe na sio gari ya kwanza.

Alianza na PREMIO, akaja Vanguard, ikaja tako la nyani now ana Harrier Anaconda.

Katika gari zote hizo hamna aliekaa nayo miaka miwili.

Why kauliza??? Mume wake kamshauri amnunulie Prado yeye anapenda Velar, Mumewe akamuambia sababu mkewe sio mkaaji wa magari atampa tabu akitaka uza haitouzika kwa haraka kama Prado na Mume sio mpenzi wa Range

Licha ya kununuliwa na Mume hata Mke akiamua ajinunulie uwezo anao hayupo kinyonge pia.

pia mhusika hajaja humu kuuliza ni mimi nilietaka kusikia maoni ya watu ili nimshauri vizuri.

Tuacheni makasirikio Watanzania mnapenda habari za huzuni na kimaskini, sijui kwanini tuna kijiba cha roho na mafanikio ya watu
 
Mma umalile kalumbu Bhasikwandisya 😀
 
Hapa mwenye makasiriko sijui ni nani? Mana jambo dogo tu maelezo kama yotee
 
KAma ana hela velar ndio ya kitajiri, prado kama dar combine gari ya kichaga hiyo ya watu bahili bahili haina hadhi kabisa
 
RR is above next level
 
Mkuu acha kabisa kuivunjia Heshima Toyota Land Cruiser linapokuja swala la reliability

Ungeweza kabisa kuisifia hiyo jeep bila kujaribu kuiponda Toyota LC
Toyota LC wanauzia jina?

Hivyo vyeti vyako vya veta visikudanganye mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…