Doubleg Malafyale
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 2,733
- 3,561
tukuti momumo nkamu😂Heri kushiba mihogo kuliko kulala njaa Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
tukuti momumo nkamu😂Heri kushiba mihogo kuliko kulala njaa Mkuu.
kapicha hata ya upande ya hivo veralHeri kushiba mihogo kuliko kulala njaa Mkuu.
kama kanunua na wewe utanunua.. wote si mna brain banaaInshallah ikifika nitamuomba shost nipige nayo….kununua siwezi na kuomba ya shoga picha inishinde ahaaa sio kweli
Na ndege wafananao uruka pamojakama kanunua na wewe utanunua.. wote si mna brain banaa
ndio maana yake, wapo kwenye circle mojaNa ndege wafananao uruka pamoja
Yan mtu anayefikiria kununua magari hayo hawezi kuwa na mtazamo wa namna hiyoMimi pia nilimshauri hili ila nadhani hofu inakuja akitka kuuza je atapata mteja
Nikupe ushauri Mkuu, usimjaji mtu.Yan mtu anayefikiria kununua magari hayo hawezi kuwa na mtazamo wa namna hiyo
Mma umalile kalumbu Bhasikwandisya 😀Nikupe ushauri Mkuu, usimjaji mtu.
Sababu baadhi yenu wachache mmeongea hili acha nielezee kidogo.
Kwanza ananunuliwa na Mumewe na sio gari ya kwanza.
Alianza na PREMIO, akaja Vanguard, ikaja tako la nyani now ana Harrier Anaconda.
Katika gari zote hizo hamna aliekaa nayo miaka miwili.
Why kauliza??? Mume wake kamshauri amnunulie Prado yeye anapenda Velar, Mumewe akamuambia sababu mkewe sio mkaaji wa magari atampa tabu akitaka uza haitouzika kwa haraka kama Prado na Mume sio mpenzi wa Range
Licha ya kununuliwa na Mume hata Mke akiamua ajinunulie uwezo anao hayupo kinyonge pia.
pia mhusika hajaja humu kuuliza ni mimi nilietaka kusikia maoni ya watu ili nimshauri vizuri.
Tuacheni makasirikio Watanzania mnapenda habari za huzuni na kimaskini, sijui kwanini tuna kijiba cha roho na mafanikio ya watu
Hapa mwenye makasiriko sijui ni nani? Mana jambo dogo tu maelezo kama yoteeNikupe ushauri Mkuu, usimjaji mtu.
Sababu baadhi yenu wachache mmeongea hili acha nielezee kidogo.
Kwanza ananunuliwa na Mumewe na sio gari ya kwanza.
Alianza na PREMIO, akaja Vanguard, ikaja tako la nyani now ana Harrier Anaconda.
Katika gari zote hizo hamna aliekaa nayo miaka miwili.
Why kauliza??? Mume wake kamshauri amnunulie Prado yeye anapenda Velar, Mumewe akamuambia sababu mkewe sio mkaaji wa magari atampa tabu akitaka uza haitouzika kwa haraka kama Prado na Mume sio mpenzi wa Range
Licha ya kununuliwa na Mume hata Mke akiamua ajinunulie uwezo anao hayupo kinyonge pia.
pia mhusika hajaja humu kuuliza ni mimi nilietaka kusikia maoni ya watu ili nimshauri vizuri.
Tuacheni makasirikio Watanzania mnapenda habari za huzuni na kimaskini, sijui kwanini tuna kijiba cha roho na mafanikio ya watu
SawaNi wewe na wengine wote mliojifanya mtu anaetaka kununua hizo gari hawezi uliza!!
KAma ana hela velar ndio ya kitajiri, prado kama dar combine gari ya kichaga hiyo ya watu bahili bahili haina hadhi kabisaHabari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX
Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.
Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?
Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?
View attachment 3073586View attachment 3073587
RR is above next levelHabari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX
Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.
Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?
Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?
View attachment 3073586View attachment 3073587
Mkuu acha kabisa kuivunjia Heshima Toyota Land Cruiser linapokuja swala la reliabilityKama anazo za kutosha, aachane na hayo, badala yake achukue hili; liko reasonably priced halafu ni reliable sana. Model za siku hizi za Jeep zina luxuries nyingi sana added ndani yake. Toyota siku hizi wanauza jina tu, lakini reliability ya magari yake ni ya chini sana. Sishauri Land cruiser kabisa
View attachment 3073687