Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,512
- 23,925
Habari, mimi sio mwandishi mzuri hivyo naomba penye makosa nivumiliwe.
Rafiki yangu anataka kununua gari ila yupo njia panda hajui achukue ipi kati ya gari hizi mbili.
1. Range Rover Velar
2. Toyota Land Cruiser TX
Kuhusu spare parts sijui mafuta sio shida kwake.
Ila sio mpenzi wa kukaa na gari muda mrefu, je akitaka kuja kuuza Velar ili abadilishe itauzika?
Kwa Wazoefu wa Magari mnamshauri achukue ipi?