Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Mwambie ushauri wangu ni wa fundi makanika wa kuaminika sana nina leseni ya SAE. Jeep Grand Cherokee Limited L ya 2024 haina plastic nyingi ukilinganisha na Toyota Land Cruiser.Nitamuonyesha text yako pia ingawa yeye choice zake ni hizo mbili