Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Vijana, heshimuni wazazi walowazaa na kuwalea mpaka mkafikia kutuma meseji namna hii mitandaoni, upuuzi wa MAMA ni upi hapa!
bbc, ukinitukana nitakutukna ninavyoona itakuuma, ukose usingizi kama una mama! Kwani huwezi kujengo hoja bila kutumia neno upuuzi! Upuuzi ni tusi. Nitakurudishia.
 
bbc, ukinitukana nitakutukna ninavyoona itakuuma, ukose usingizi kama una mama! Kwani huwezi kujengo hoja bila kutumia neno upuuzi! Upuuzi ni tusi. Nitakurudishia.
Angalau basi ungesema "mpuuzi mwenyewe" kuliko kumleta mama asiyehusika kabisa!
 
ecd6aacd953d0ccf4022e8e2f4e10564.jpg
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Ww ambaye hukai utumwani tuonyeshe unatengeneza nn ambacho dunia inakikubali
 
Range rover vogue na dada yake Range sport..ni gari nzuri na za heshima. ila haziko friendly kwenye barabara zetu. washikaji wengi zimewaua. Hata marekani hawazihusudu hizo gari. hazitaki suluba na barabara mbovu kama ile ya kwenda chalinze. uki hit bams/hamps na zaidi ya 140 lazima uende chini.
Katika maisha yako yote ulishawahi kuona range rover imepinduka. Acha kuongea mambo ya mihemuko na vijiweni. Hizi ni story za vijiweni.
 
Katika maisha yako yote ulishawahi kuona range rover imepinduka. Acha kuongea mambo ya mihemuko na vijiweni. Hizi ni story za vijiweni.
Maybe wewe unaziona kwenye picha, mimi nimezimiliki na kuendesha.Hatufanani mkuu..
 
Kisa siasa. Mnaharisha tu maneno bila hata kutafakari. Njooo tu Ulaya Uwe shoga. Mana kama umeshindwa kulima hata nyanya sasa kusubiri Mzungu Au Mbowe akwambie. Then Njoo Uwe shoga. Wanaume kumi kwa Siku Euro 50-100 nusu saa .utapata 1000 to 2000. si Ndo maisha mliyotayari kuyaishi kisa siasa za kuchafuana. Watu kama nyinyi ndo mko maofisini mnasabotage miradi ya Maendeleo kisa Siasa. Mnatumikia wakina Mbowe mnaabudu wakina Lissu. Ukiulizwa nini wamefanya Huna jibu zaidi ya kuwa wambeya na wasaliti kwa maslahi ya Nchi. Niambie Mzungu gani alikuja hapa radioni kuponda Nchi yake. Mkituliza Tigo zenu kama hamvuti mabangi mtajua Nchi na uzalendo ni Muhimu sana kuliko siasa. Nyie ndo wale wanaume kwenye shida ndogo atatuma watoto wake wa shule ya msingi wakauze walete Hela. PUMBAVU sana. Sina neno La ziada.
Acha kuchafua watu hao uliowasema ndiyo wameifanya nchi hii ijulikane.Kuzuia mikutano,uhuru wa habari,bunge na mahakama ndiyo uzalendo huo.Ndoto za kuwaongoza malaika ndiyo uzalendo.Umechafua thread kwa ufupi ungetuacha tuendelee kujadili kitu ya muingereza hapa hata kama hatuna siyo huo upupu uliotuwekea hapa.Afterlaw sioni makosa ya upinzani zaidi ya chuki za kisiasa.
 
hi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.

Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion.
Range rover Velar nadhani ndo latest na bei yake ni nyoko
 
4883cf1e644f5f7bc1a0c5763c35b4e6.jpg
16e6e6c43d4ae32efa9571b332250eae.jpg
5b26c3c2c6e6712731991e765b23cb92.jpg
72f2f644d84cf9ae62a6069b4b7dd87f.jpg


Sport hilo la 2018.....acha kwanza tupambane na crown za mwaka 2008 japo tunaziita new model
Hahahahah gari ya miaka 9 nyuma bongo ndio inaitwa new model kudadadeki. Nchi yetu hii ila TRA mungu anawaona tu.
 
Back
Top Bottom