bbc
JF-Expert Member
- Jan 18, 2016
- 3,836
- 4,146
Vijana, heshimuni wazazi walowazaa na kuwalea mpaka mkafikia kutuma meseji namna hii mitandaoni, upuuzi wa MAMA ni upi hapa!mpuuzi mama yako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana, heshimuni wazazi walowazaa na kuwalea mpaka mkafikia kutuma meseji namna hii mitandaoni, upuuzi wa MAMA ni upi hapa!mpuuzi mama yako
bbc, ukinitukana nitakutukna ninavyoona itakuuma, ukose usingizi kama una mama! Kwani huwezi kujengo hoja bila kutumia neno upuuzi! Upuuzi ni tusi. Nitakurudishia.Vijana, heshimuni wazazi walowazaa na kuwalea mpaka mkafikia kutuma meseji namna hii mitandaoni, upuuzi wa MAMA ni upi hapa!
Angalau basi ungesema "mpuuzi mwenyewe" kuliko kumleta mama asiyehusika kabisa!bbc, ukinitukana nitakutukna ninavyoona itakuuma, ukose usingizi kama una mama! Kwani huwezi kujengo hoja bila kutumia neno upuuzi! Upuuzi ni tusi. Nitakurudishia.
Ww ambaye hukai utumwani tuonyeshe unatengeneza nn ambacho dunia inakikubaliUtabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Katika maisha yako yote ulishawahi kuona range rover imepinduka. Acha kuongea mambo ya mihemuko na vijiweni. Hizi ni story za vijiweni.Range rover vogue na dada yake Range sport..ni gari nzuri na za heshima. ila haziko friendly kwenye barabara zetu. washikaji wengi zimewaua. Hata marekani hawazihusudu hizo gari. hazitaki suluba na barabara mbovu kama ile ya kwenda chalinze. uki hit bams/hamps na zaidi ya 140 lazima uende chini.
Maybe wewe unaziona kwenye picha, mimi nimezimiliki na kuendesha.Hatufanani mkuu..Katika maisha yako yote ulishawahi kuona range rover imepinduka. Acha kuongea mambo ya mihemuko na vijiweni. Hizi ni story za vijiweni.
Nigga Nye Nye Nye!Ww ambaye hukai utumwani tuonyeshe unatengeneza nn ambacho dunia inakikubali
Duh hii lughaHiyo ndinga ndani, ***** unaeza kufuru...
Mbona hata wakati huu nafuu ya utawala wa mzungu kuliko hawa wakoloni wapya.Yani Upo ready kujitoa kwa vyote asee
Acha kuchafua watu hao uliowasema ndiyo wameifanya nchi hii ijulikane.Kuzuia mikutano,uhuru wa habari,bunge na mahakama ndiyo uzalendo huo.Ndoto za kuwaongoza malaika ndiyo uzalendo.Umechafua thread kwa ufupi ungetuacha tuendelee kujadili kitu ya muingereza hapa hata kama hatuna siyo huo upupu uliotuwekea hapa.Afterlaw sioni makosa ya upinzani zaidi ya chuki za kisiasa.Kisa siasa. Mnaharisha tu maneno bila hata kutafakari. Njooo tu Ulaya Uwe shoga. Mana kama umeshindwa kulima hata nyanya sasa kusubiri Mzungu Au Mbowe akwambie. Then Njoo Uwe shoga. Wanaume kumi kwa Siku Euro 50-100 nusu saa .utapata 1000 to 2000. si Ndo maisha mliyotayari kuyaishi kisa siasa za kuchafuana. Watu kama nyinyi ndo mko maofisini mnasabotage miradi ya Maendeleo kisa Siasa. Mnatumikia wakina Mbowe mnaabudu wakina Lissu. Ukiulizwa nini wamefanya Huna jibu zaidi ya kuwa wambeya na wasaliti kwa maslahi ya Nchi. Niambie Mzungu gani alikuja hapa radioni kuponda Nchi yake. Mkituliza Tigo zenu kama hamvuti mabangi mtajua Nchi na uzalendo ni Muhimu sana kuliko siasa. Nyie ndo wale wanaume kwenye shida ndogo atatuma watoto wake wa shule ya msingi wakauze walete Hela. PUMBAVU sana. Sina neno La ziada.
Range rover Velar nadhani ndo latest na bei yake ni nyokohi bado ghali nimeona Ni pauni za Bibi 268,000. Ila haijatofautiana Sana Na renji 2017 ambayo Hadi 86,000 pauni za Bibi.
Nadhani kwa madafu iyo Hadi Kodi lazima ifike karibu billion.
Hiii ndo gariii mbka mlioo wake si mchezo
Si ndo najiulizaa range chiniii mana ata benz sijawaii ishuhudiaa imepata ajaliiKatika maisha yako yote ulishawahi kuona range rover imepinduka. Acha kuongea mambo ya mihemuko na vijiweni. Hizi ni story za vijiweni.
Hahahahah gari ya miaka 9 nyuma bongo ndio inaitwa new model kudadadeki. Nchi yetu hii ila TRA mungu anawaona tu.![]()
![]()
![]()
![]()
Sport hilo la 2018.....acha kwanza tupambane na crown za mwaka 2008 japo tunaziita new model