Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Competes with: Land Rover Range Rover, Maserati Levante, Cadillac Escalade

Looks like: A kinder, softer, slightly rounder G-Wagen

Drivetrains: 416-horsepower, twin-turbocharged 4.0-liter V-8; nine-speed automatic transmission; permanent all-wheel drive with low range

Hits dealerships: Late 2018

Spend any time in Southern California and you'll see one — not traversing the hills and streams of Malibu canyons, mind you, but crawling through traffic and rolling down shopping-mall parking decks. This is the Mercedes-Benz G-Class, one of the most expensive, most capable and most distinctive SUVs in the world. And despite its amazing off-road prowess and capability, the vast majority of them are outfitted as super-luxurious, super-expensive family vehicles for the 1 percent crowd.
 
312280_2017_Bentley_Bentayga.jpg


EvaluationTest model2017 Bentley BentaygaTrim levelBase

Base price$266,090Price as tested$300,000Warranty (basic)3 years / unlimited
Warranty (powertrain)3 years / unlimited

Fuel economy (city/highway/observed)18.2 / 12.2 / N/A l/100kmOptionsN/A

Competitive modelsMercedes-Benz G-Class, Porsche Cayenne Turbo S, Range Rover, Tesla Model X

Strong points

Sumptuous cabin

Blistering performance

On and off-road capable

Weak points

Shocking price tag

Small infotainment screen by today’s standards

Rather uncomfortable rear middle seat

Editor's rating
Fuel Consumption3.0/5 Who cares, really.Comfort5.0/5 Cushy seats, soft leather, air suspension. Need we say more?

Performance5.0/5 Reaching 100 km/h in 4.1 seconds aboard a 5400-lb. truck is truly impressive.

Infotainment System3.5/5 A good and easy-to-use system, but the touchscreen is small for a vehicle of this price and prestige.

Driving Experience 4.5/5 Feels like a tank, rides like a cloud, accelerates like a sports car.

Overall4.5/5 The most outrageous SUV money can buy. For now.
 
Hii mashine si mchezo halaf nimependa kuna engine tofauti sio lazima uchukue engine kuubwa.

Kuna boya anakwambia eti bongo zimejaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuwa hali mchicha huyo, anafananisha range na subaru labda
 
Yani Bora arudi kuliko haya mikoloni mieusi imeshindwa kudeliver hata maji. Maji ya kinywa tu anasa.

Lazima ATUBU kwanza kabla hawarudi

Kisa siasa. Mnaharisha tu maneno bila hata kutafakari. Njooo tu Ulaya Uwe shoga. Mana kama umeshindwa kulima hata nyanya sasa kusubiri Mzungu Au Mbowe akwambie. Then Njoo Uwe shoga. Wanaume kumi kwa Siku Euro 50-100 nusu saa .utapata 1000 to 2000. si Ndo maisha mliyotayari kuyaishi kisa siasa za kuchafuana. Watu kama nyinyi ndo mko maofisini mnasabotage miradi ya Maendeleo kisa Siasa. Mnatumikia wakina Mbowe mnaabudu wakina Lissu. Ukiulizwa nini wamefanya Huna jibu zaidi ya kuwa wambeya na wasaliti kwa maslahi ya Nchi. Niambie Mzungu gani alikuja hapa radioni kuponda Nchi yake. Mkituliza Tigo zenu kama hamvuti mabangi mtajua Nchi na uzalendo ni Muhimu sana kuliko siasa. Nyie ndo wale wanaume kwenye shida ndogo atatuma watoto wake wa shule ya msingi wakauze walete Hela. PUMBAVU sana. Sina neno La ziada.
 
Kisa siasa. Mnaharisha tu maneno bila hata kutafakari. Njooo tu Ulaya Uwe shoga. Mana kama umeshindwa kulima hata nyanya sasa kusubiri Mzungu Au Mbowe akwambie. Then Njoo Uwe shoga. Wanaume kumi kwa Siku Euro 50-100 nusu saa .utapata 1000 to 2000. si Ndo maisha mliyotayari kuyaishi kisa siasa za kuchafuana. Watu kama nyinyi ndo mko maofisini mnasabotage miradi ya Maendeleo kisa Siasa. Mnatumikia wakina Mbowe mnaabudu wakina Lissu. Ukiulizwa nini wamefanya Huna jibu zaidi ya kuwa wambeya na wasaliti kwa maslahi ya Nchi. Niambie Mzungu gani alikuja hapa radioni kuponda Nchi yake. Mkituliza Tigo zenu kama hamvuti mabangi mtajua Nchi na uzalendo ni Muhimu sana kuliko siasa. Nyie ndo wale wanaume kwenye shida ndogo atatuma watoto wake wa shule ya msingi wakauze walete Hela. PUMBAVU sana. Sina neno La ziada.
ngese
 
Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipi
Kama ni mtu ambaye anajua magari atagundua huwa kuna tofauti katika baadhi ya features. Hata kiumbo (body) zinatofauti kila mwaka. Kutambua hizo tofauti inabidi uwe mpenzi/ mtaalam wa magari. Otherwise inakuwa ngumu sana kama kumtambua mwanamke aliye bikra kwenye ngoma za vigodoro.
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
sizitaki mbichi. Kwenda Ulaya , Marekani ni Utumwani, sisi ni wazalenda tunakaa kwetu kmanzichana.
 
We hujui gari ndio maana unaropoka, range zipo nyingi ila sio hilo toleo la 2018. Taa zake na rim ni tofauti na matoleo ya nyuma pia infotainment system yake ni full touchscreen.

Ukumbuke kuwa muundo wa hizo range rover hutofautiana kwa miaka.Mwaka 2013 ndio design mpya ya body ilitoka so range zilizofuata zote zilikuwa na muonekano mpya. Unaweza kuta unaongelea wingi kupitia matoleo ya 2013-2015 maana nyingi ndio zipo affordable hapo.
Mimi namiliki hiyo gari tena ni ya CMC kiongozi. Ndio maana naongea kwa kujiamini katika hili. Wewe utakuwa ndio haujui magari umekalia kukaa vijiweni na ikipita gari nzuri mnashindana wa maj.uha wenzako kuiwahi.

Unaposema tofauti ni katika taa na rims, Je unatambua kama unaweza ku customise design your Range based on the price!? Au unatapika pumba tu hapa. Kuna standard versions na Upgrades on Luxury versions. Ndio maana kuna Rovers zinaitwa Signature series.
Ukiongelea kitu jaribu kuwa na uelewa nacho. Sio unakurupuka tu.

I am from a Range Rover family. Tokea miaka na miaka. Na Mzee alikuwa ni mmoja wa vigogo wa kwenye Bodi ya D.T Dobie & Co (T) L.T.D.....sijui kama unafahamu hii ni nini kijana wewe!
 
2018 mkuu???
Tanzania kuna watu wabishi mkuu...we acha tu. Nenda mitaa ya Sea Cliff on a Sunday afternoon and evening ndio utajua Bongo kuna vichwa ngumu. Yaani utafikiri watu wana visima vya grisi majumbani.
Pitia pale Epidore masaki pia. Ndinga za kutisha mkuu.
 
Sio kweli.
Gari imetoka mwaka huu.
Range rover ni habari nyingine.
IPO SIKU NITAKUJA KUENDESHA.
Wewe ndio walewale. Gari ikiwa ya 2018 unajua huwa zinatoka kiwandani na kuingia sokoni mwezi gani na mwaka gani!? Naomba jibu....nenda kafanye research urudi na jibu sahihi hapa. Otherwise kaa kimya kuficha aibu ya ukoo wenu.
 
Aseeh hii gari kali lakin kwangu mimi bora Range Rover velar
 
Back
Top Bottom