Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Kuna range moja ilipita barabarani, ilikuwa range rover sport nyeupe....
Daah niliipenda maana ilikuwa vizuri....
Then mara paap kwa nyuma katokea mwarabu mmoja na g class amg....
Daah range cha mtoto...
Kwanza mlio tu halafu uniqueness ya benz g class..
It's the beast na akiniambia nichague kati ya range na g classs ni g class any day of the week
 
bro unamaanisha ile Braebus lile gari linasura mbaya Yani Dem mkaree atamchagua mwenye renji kulikoilo dubuwasha halina tofauti lendrover za enzi za mwalimu.

Hata nikiminywa poumbou nakunyooshewa bastola ninunue kwa laki Bora gx110
 
Best Luxury SUV so far japo Lexus LX 5.7 anamjia kwa kasi.
 
Utabakia hivyo hivyo kijana! Hatari yake iko wapi? Hiyo migari mbona imejaa barabarani Bongo mpaka inatia degedege! Hizi ndio athari za kukaa utumwani.
Sio kweli.
Gari imetoka mwaka huu.
Range rover ni habari nyingine.
IPO SIKU NITAKUJA KUENDESHA.
 
Atashikwa hata masaburi
Kabla ya uhuru jambo pekee tulilozuiwa kulifanya ni kufanya siasa tu. Mengine yote tuliruhusiwa, kuanzia kuabudu, kusoma, kuajiriwa, kujiajiri, na kuishi popote utakapo na kwenda popote. Hivyo kstika suala zima la uhuru, sisi tulipewa uhuru wa kisiasa, kwa hiyo baada ya uhuru tukaunda serikali yetu na kuanza kufanya siasa.
Cha ajabu na sisi tukapiga marufuku uhuru wa kisiasa, hiyo ilikua ni miaka mingi iliyopita. Katika siku za hivi karibuni tumeshuhudia tena uhuru wa kisiasa na kutoa maoni vikipigwa marufuku tena
Vinapigwa marufuku ndani ya nchi iliyokua ukidai uhuru wa kufanya siasa na ikapewa uhuru huo lakini nayo imeshindwa kuusimamia na kuuvumilia uhuru huo.
 
Hii mashine si mchezo halaf nimependa kuna engine tofauti sio lazima uchukue engine kuubwa.

Kuna boya anakwambia eti bongo zimejaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaahaaa.....
 
bro unamaanisha ile Braebus lile gari linasura mbaya Yani Dem mkaree atamchagua mwenye renji kulikoilo dubuwasha halina tofauti lendrover za enzi za mwalimu.

Hata nikiminywa poumbou nakunyooshewa bastola ninunue kwa laki Bora gx110
Sio brabus.....
Anyday nachagua g class...
Range weka kule
 
nydn-2019-mercedes-benz-g-class-g550-brown-front-quarter.jpg
nydn-2019-mercedes-benz-g-class-g550-action-sand-dirt.jpg
 
Back
Top Bottom