Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Halafu kuna kenge anasema yamejaa
Tatizo ya hizi gari base model na full loaded model hazina tofauti sana lakini bei ndio shida...
So unaweza kuta mtu ana base model ambayo bei yake inaweza kuwa hata chini ya hiyo bei iliyowekwa hapo
 
Ila wanako ilekea wataondoa mpaka hizo sterringi. Gari bila kupachika gia sita injoy huo mwaka wa kumiliki mabeki 3 watahisika kuziendesha
Ni kweli kabisa mkuu. Mimi binafsi hata hizi features kama Push to start, gear knob, automatic parking assistance, sensors n.k huwa havininogei kabisaaa. Gari zinakuwa kama game console au cockpit ya ndege.
Waache tupambane na kirungu cha gia na kuingiza funguo tuisikie ile tanyonyonyooo...
 
Kuendesha gari ni burudani kama ilivyyo kucheza mpira kwa mimi asa mechi tatu hujapigoli walau upige matobo basi ndo raha.

Kuendesha gari nzuri ni raha sana raha zaidi mikono na miguu ishughulike ndo rubudani et.
 
Kuendesha gari ni burudani kama ilivyyo kucheza mpira kwa mimi asa mechi tatu hujapigoli walau upige matobo basi ndo raha.

Kuendesha gari nzuri ni raha sana raha zaidi mikono na miguu ishughulike ndo rubudani et.
Kabisa mkuu.
 
Hizo gari zinanunulika tatizo ni nchi ya kodi hii watakufurahisha.......
Et mama eeh nakubali.

Kuna watu wapo humu tz lakini hawatofautiani na wa ulaya tusishangae gari ipo kiwandani na m bongo keshailipia.

Kazi ya pesa ni matumizi at
 
Point of correction mkuu extrovert,body zake zilianza kubadilika kuanzia mwaka 2014 na si mwaka 2013
 
Nenda kakojoe ulale, hii mada ni nzito sana kwako.
Hukunielewa au umekurupuka nime quote post na nilikuwa namjibu mtu aliyesema ameziona nyingi mpaka zinatia degedege barabarani ndiyo nimemwambia hili ni toleo jipya ni mwezi tu umepita yeye ameziona wapi huko barabarani nyingi?
 
Muingereza ndio katengeneza gari lenye left steering?




Hapana, muingereza anatengeza za right hand drive.

Hilo ni Range Rover Velar kwa ndani.




Range Rover Vogue ya mwaka 2018 RHD kwa ndani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…