Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

mkuu kwenye fifth gear ilifanywa test ya rr vogue 2017 na land cruiser ilishinda kila kitu kasoro . sura
Lakini kwanini unazani RR ina bei zaidi ya V8 na kwanini haziuziki sana Europe kuliko Rover!?..simply Rover ni mbabe
 
velar ilitengenezwa kwa soko la watu wasio na uwezo na vogue but wanapenda luxury mahsusi zaidi india...
 
Tukumbushane tu, unahitaji si chini ya million 300 kuagiza mpaka kufanya clearance bandarini na hatimaye kuweka ma.ta.ko kwenye steering ya hio Rover used ya 2018. Kwa mpya 0kms inaweza gonga mpaka million 400+

Napata ukakasi napoona mtu anaesema zimejaa kama uyoga wakati anajua fika dola 1 ni kati ya 2200-2400 na kipato halisi cha watanzania wengi kinajulikana hand to mouth.
 
Lakini kwanini unazani RR ina bei zaidi ya V8 na kwanini haziuziki sana Europe kuliko Rover!?..simply Rover ni mbabe
sikia kua kwa bei kubwa kwa gari sio ubora mfano huu kama unazifahamu hypercar tatu kubwa duniani ambazo ni hybrid ambazo ni ferrari la ferrari hp 950 [HASHTAG]#mclaren[/HASHTAG] p1 hp 901 [HASHTAG]#porsche[/HASHTAG] 918 hp 88ish zilifanyiwa test nurburgring na porsche ikashinda also ukiangalia bei ya porsche ndo ilikua cheap soo bei kigezo....
mkuu...
 
mbona left hand na Waingereza gari zao ni right hand
 
Ndio maana nikasema "kwanza"usiwe mwepesi wa kushutum mawazo ya wengine siku ikifika itaendeshwa hata nilivyo navyo sikuzaliwa navyo take easy
Nenda kafie mbele huko. Nikushutumu mawazo yako mimi nakujua!
 
Seems kuwa na Perfomance kubwa haijawa kigezo sana kwa wenzetu!..Thats why Toyota anakua anaonekana brand yake sio Ultra luxury category cars, alipoangalia atalitekaje soko lao akaamua kuja na brand mpya kuliteka soko la Europe na America akaintroduce LEXUS na ukiangalia Lexus inauza sana kwa sasa America&Europe kuliko Ford, BMW au Benz!..
Same as kwa Nissan na Suzuki ambao wakaintroduce Infiniti na Acura kuteka soko!..
Wenzetu wanaangalia Brand katika kununua..sisi tunaangalia cheapness
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…