Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Range Rover Vogue 2018 Muingereza hatari

Et mama eeh nakubali.

Kuna watu wapo humu tz lakini hawatofautiani na wa ulaya tusishangae gari ipo kiwandani na m bongo keshailipia.

Kazi ya pesa ni matumizi at
Hahahahahah, sasa bei ya hio gari si ndio faida ya siku moja ya mzee Azam Bhakressa
 
Range rover vogue na dada yake Range sport..ni gari nzuri na za heshima. ila haziko friendly kwenye barabara zetu. washikaji wengi zimewaua. Hata marekani hawazihusudu hizo gari. hazitaki suluba na barabara mbovu kama ile ya kwenda chalinze. uki hit bams/hamps na zaidi ya 140 lazima uende chini.
Gari zenyewe ziko chache hao washkaji zako wengi akina nani? au umechanganya na Rav4 za 1998?!
 
Achana na hiyo bado sana... Kuna bombardia imezinduliwa juzi na rais.. Hatar sana aisee[emoji23][emoji23]
 
Gari zenyewe ziko chache hao washkaji zako wengi akina nani? au umechanganya na Rav4 za 1998?!
Well, nahisi comment yako imepotea njia. kwani range shilling ngapi mkubwa? "Nikisema washikaji zangu wengi..."ulielewaje? bro, siyo kila mtu ni maskini na siyo kila mtu yuko within tz jurisdiction..
 
tapatalk_1521144929388.jpeg

Ngoja niendelee kumiliki tu hii ngalangala...[emoji29] [emoji29]
 
Ila Hii bidhaa ya kwa Malkia achana nayo bhana...

Yaani Range rover ukiweza kuiweka barabarani hata kama ni Model ya 2002 bado we ni mwanaume walionazo Mjini wanahesabika...

Mkuu uko sawa kabisa hata sijui kama bongo kuna Range ya 2015 zote za zamani kurudi nyuma
 
ngoja nieendelee 'phonex' yangu tu namna haipo
 
Kiukweli muundo wa Range Rover haujanibariki kabisa. Siwezi kununua hii gari kabisa
 
Tatizo la hawa range rover yaan hata ya mwaka 2015 na hii tofauti ni ndogo sana so hata mtu akiiona kwa nje hawezi jua ipi ni ipi
Dawa ni kununua ya 2016 na kufunga body kit ya 2018 ukicheki Ali Express waweza pata kwisha kazi, hata ukinunua kit ya taa, bumpers na rims kwa 10M sio mbaya japo inaweza isifike hapo. Unakuwa umeji update kufikia 2018 bila gharama kubwa. Hiki ndicho anakifanya yule jamaa wa TTTR auto upgrades na kuwapigia rangi upya gari zima vyote kwa gharama isiopungua USD 10,000 na layman wengi wanampigia makofi mengi mno kama kuna miujiza sana inayofanyika.
 
Duuh! Mkuu kumbe ndo inakuaga hela ndefu hivi???? $10,000.?????
 
Back
Top Bottom