Sehemu niliyokopi link wamebania,nimesharekebisha.Tumsamehe Bure BAbu M,ni uzee ndo unamsumbua
Siyo lake ni la Mume wake G.Habash
Asante nimesharekebisha.Edit Post hyo umemix kwenye html code za image.
Kakwama kwenye traffic sasa hivi unaweza kuiona,lol.Mkuu inakimbia hiyoooo!!huwezi amini hata hapa jf imepita nduki!!!
Imepita na speed ya 180 hakuna mtu aliyeiona.
:focus:
Diamond inabidi aachane na Ma-Toyota watu wenye hela wanatembelea magari ya maana achana na V8 fanya kama JIDE unavuta RR then Escalade then Lincoln Navigator then tunaenda hadi Maybach au Aston Martin.
Hiki ndicho alichoki post lady jaydee kwenye mtandao wake wa instagram...heshima kwake# hard work pays..wakina wolper mpooo???
=> Jide ndio anamiliki gari ghali kuliko wasanii wote Bongo...Land Rover..Range Rover Evoque.. .kitu WHITE....
nmemshangaa sana huyu daimond kukurupukia liv8 hizi ndo gari za superstars bwana
Mkuu unaona hawezi??Huyo Siyo wale wa maneno yeye vitendo hiyo niyo #Teamanconda ...........https://www.facebook.com/ladyjaydeekwahiyo alivyopiga nalo picha ndio lake
safi sana JD.....unajua sometimes its not about PRICE....its about quality,attention to details and class!!na hapa umeonyesha una quality,attention to details na class kwenye magari......from MURANO to ENVOQUE CONGRATS.....
Hongera dada jide.. huyu ndio mwanamke mfano wa kuigwa sasa. Sio hao wakina shilole na wakina masogange. Kazi kupiga picha kuonyesha makalioo