Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo
Kuna state niliishi time flan yani ununue gari kama BMW X6 hahahaha lazima utoe evidence of income la sivyo linakuwa la serikali.
Hongera zake kumbe mziki unalipa dah aisee