Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo

Kuna state niliishi time flan yani ununue gari kama BMW X6 hahahaha lazima utoe evidence of income la sivyo linakuwa la serikali.

Hongera zake kumbe mziki unalipa dah aisee
 
Hongera dada jide.. huyu ndio mwanamke mfano wa kuigwa sasa. Sio hao wakina shilole na wakina masogange. Kazi kupiga picha kuonyesha makalioo

Acha kufuru wewe.......sasa ulitaka naye apige ya kwake ?......yangekuwepo unafikiria angeacha kuyaonyesha ?
 
naonaga kama almasi huwa ananunua gari za kishamba!. Anaacha kucheza na ma benz, maaudi na ma bmw ye anakimbilia migari ya madingi haina hata swagga.

clooooudssss fm
the plp station
 
Wewe huwezi kulinganisha land cruiser v8 high na evoque., land cruiser ni more expensive zaidi ya hilo range...

unfair comparison.....ENVOQUE kwenye RANGE ROVER FAMILY ni kama RAV 4 kwenye TOYOTA FAMILY.... L/CRUISER V8 ILINGANISHE NA RANGE ROVER SDV8 AUTOBIOGRAPHY
 
Basi sawa jide shikamoo tena
 

Attachments

  • 1390200837959.jpg
    1390200837959.jpg
    60.1 KB · Views: 247
  • 1390200857461.jpg
    1390200857461.jpg
    50.7 KB · Views: 230
Hongeraa zake na mmewe la kwake liko wapi??
 
Jamanii si tumeshaiona au?leo inarudiwaa hii storry
 
Salute kwa Wanawake watafutaji sio hao wanaolilia usawa lakini kazi kupiga Mizinga upya LesiWigi na hela ya kodi nyumba Sinza.
 
Thats my dada.....hii kitu imekaa kistaa zaidi;thats where you belong to!!v8 is too kilimo kwanza heaven on desert
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom