Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

=> ☆★ I see ... true... ur right...NI UKWELI KABISA KABISA....Jide she is not ATTRACTIVE...at all...4get about her maendeleo..tht is another thing...we talk of being SEXY...attractiveness...kama msanii & a woman she must LOOK SEXY & ATTRACTIVE....na hicho kitu kikubwa mno mno kwa msanii hasa wa kike....dunia
nzima...coz APPEARANCE YA BODY & MAVAZI ni # 1 hasa ktk usanii...

=> JIDE mavaz YANAMWANGUSHA KABISA...she doesn't know HOW TO DRESS kutokana HANA FIGURE
ATTRACTIVE... ya kubana bana yana mlet down...kavaa hapa like Cheki bob fulani hivi....lazima avae mavazi ya kumhifadhi umbo lake ambalo sio attractive kabisa...avae nguo nzuri either suruali au nguo za kike zisiwe zinabanaaaa hadi balaa sbb hana FIGURE SO
NDIO ANAONEKANA KITUKO.....hapa hatuongelei maendeleo yake....don't mix stuffs nyie kina Matola....keep shut....!!! she is not SEXY not attractive....period....!!!

Mr. President,bora umeliona,nmeamua kuachana ubishi na hao jamaa coz HAWAELEWIII HATA ROBO nini maana ya mvuto kwa mwanamke ambae ni star....sioni km jide mwili wake una tatzo,choice ya mavazi ndo ina ishu..can u say jide looks sexyyy??or attractive?? Anaposanda mtu kumwambia ni muhimu

Sex looking hiyo ni kazi ya kina Wema Sepetu,Irene Uwoya auntie Ezekiel and likes, kazi ya Jide ni performance on the stage and not otherwise.

Miaka 13 ya kuwa kwenye chati haikuletwa na mavazi bali hard working & determination.
 
Last edited by a moderator:
Mr. President, Jide ndie mmiliki wa gari ghali zaidi kwa maana ipi? Kwamba anamiliki Range Rover ambayo originally ni very expensive bila kujali yeye aliinunua ikiwa ktk state/condition gani na alilipa kiasi gani au unamaanisha nini hasa? Maana yangu ni kwamba, Prado used unaweza kupata hata kwa U$ 20,000 wakati Corolla Brand New ya kawaida tu inaenda above above U$ 25,000.
 
Last edited by a moderator:
Acha kujifaraguwa, Jide apendeze kwako ili iweje? Yatosha akipendeza kwa Gadner Habash. By the way Jide ni mwanamuziki na siyo photo model.

Dah nimekupenda bure mkuu, subir zawad yako
 
=> ☆★ I see ... true... ur right...NI UKWELI KABISA KABISA....Jide she is not ATTRACTIVE...at all...4get about her maendeleo..tht is another thing...we talk of being SEXY...attractiveness...kama msanii & a woman she must LOOK SEXY & ATTRACTIVE....na hicho kitu kikubwa mno mno kwa msanii hasa wa kike....dunia
nzima...coz APPEARANCE YA BODY & MAVAZI ni # 1 hasa ktk usanii...

=> JIDE mavaz YANAMWANGUSHA KABISA...she doesn't know HOW TO DRESS kutokana HANA FIGURE
ATTRACTIVE... ya kubana bana yana mlet down...kavaa hapa like Cheki bob fulani hivi....lazima avae mavazi ya kumhifadhi umbo lake ambalo sio attractive kabisa...avae nguo nzuri either suruali au nguo za kike zisiwe zinabanaaaa hadi balaa sbb hana FIGURE SO
NDIO ANAONEKANA KITUKO.....hapa hatuongelei maendeleo yake....don't mix stuffs nyie kina Matola....keep shut....!!! she is not SEXY not attractive....period....!!!

Ndio she is not attractive ila kashaolewa, ni muke halali ya Gardner,anamiliki mgahawa wa kisasa kabisa unaitwa Nyumbani lounge ,unapajua wewe?, anamiliki studio ya music,pia anamiliki nyumba ya kisasa kabisa ,unajua ana miliki magari mangapi? Ukiachilia mbali Yale ya band yake? Mimi naishia apo, can u help to mention at least one thing ambavyo hao mademu zako wanamiliki? Achilia mbali kuolewa
 
Hata km havutiii ht kama hapendezi ndo keshawazidi kimaendeleo anakula apendacho anavaa atakacho...big up jide bado kumiliki ndege
 
Mr. President, Jide ndie mmiliki wa gari ghali zaidi kwa maana ipi? Kwamba anamiliki Range Rover ambayo originally ni very expensive bila kujali yeye aliinunua ikiwa ktk state/condition gani na alilipa kiasi gani au unamaanisha nini hasa? Maana yangu ni kwamba, Prado used unaweza kupata hata kwa U$ 20,000 wakati Corolla Brand New ya kawaida tu inaenda above above U$ 25,000.

Mkuu kuna vitu lazima ufahamu kwa Tanzania mtu akifanya ni achievement kubwa tu ingawa uko mbele mamtoni ni kitu cha kawaida.

Kuna Mtanzania Marekani anaitwa John Ndunguru alileta ndege ndogo charter hapa Bongo, basi nikamjurisha mshakaji wangu ambaye alikuwa ameajiliwa na Ndunguru uko unyamwezini yeye jibu lake aliniambia hizo ndege huku ni za kuokota zimepaki tu kwenye scrap yard.

Lakini mtu huyo huyo hajawahi hata kutuma kontena hapa bongo ajaze hivyo vitu ambavyo vimetupwa huko kwa Obama. Hao ndio wabongo roho mbaya kama malaika wa kuzimu.
 
Last edited by a moderator:
Sex looking hiyo ni kazi ya kina Wema Sepetu,Irene Uwoya auntie Ezekiel and likes, kazi ya Jide ni performance on the stage and not otherwise.

Miaka 13 ya kuwa kwenye chati haikuletwa na mavazi bali hard working & determination.

Woooooord
 
Unafikiri naponda man, nilitaka tu kufahamu maana ya kwamba anamiliki gari ghali kwa maana niliyoitoa!!! Kama hoja ingejikita kwenye (say) Jide aendelea kupata mafanikio zaidi baada ya kununua Range Rover; wala nisingetia neno coz' mafanikio ni any achievement na ndio maana jukwaa hili hili watu niliwashangaa walipomponda Barnabas baada ya kununua gari....wakadai gari yenyewe si lolote si chochote lakini mie nilimitetea kwa hoja ile ile kwamba, hiyo kwake ni hatua moja mbele! Lakini huoni suala la Jide ni tofauti kidogo??!!
 
Sex looking hiyo ni kazi ya kina Wema Sepetu,Irene Uwoya auntie Ezekiel and likes, kazi ya Jide ni performance on the stage and not otherwise.

Miaka 13 ya kuwa kwenye chati haikuletwa na mavazi bali hard working & determination.

Asante kwa kuwaelimisha wapenda kukariri....
 
Mnaobishia kuhusu 'mwonekano wa lady jd....I AGREE TO DISAGREE WITH YOU..tunakubali kimziki yupo mbali,point hapa ni 'mvuto'...sijui kwanini tunazungumzia mvuto mnatoa povu kukomalia mara nyumbani lounge,studio ,cjui nini,kwani hatujui kama anavyoooo....
js be honest with ur selves,mara ngapi JD ana vaa ht mkakiri 'she is attractive' ama looking good?HANA MVUTO NA MAVAZI ANAYOCHAGUA NDO POINT HAPA,MSIPIGE CHENGA....some women got it all ndo point yangu hapa,she should step up her game kwenye hyo sekta ya mavazi ,ina nafasi yake...
Angalia kna Zari tu hapo Ug,...
 
Narudia tena kukupa elimu ya bure, Jide siyo model yeye ni Musician. Akiamuwa anaweza kuvaa hata mabatiki na necklaces zenye Jamaica colour kujivunia uafrica wake na ndio maana Jide hatumii mkorogo. Huna hoja kajipange upya kwenye take one na ushuzi mwingine.
 
hahahaahahha...unanchekesha sana,na ulivopanic ndo kabisaaaa nakushanga,kwan me cjui JD ni mwanamuziki na sio model?she is on the spotlight sana tena ni stage performer,kazi km yake 'mavazi' yana nafasi yake ,em tafuta ht picha moja utupie humu ambayo iliku'impress with her dress codes and fashion hadi ukakiri dahh leo JD KATOKA SEXY AU SHE LOOKS ATTRACTIVE...kimoyomoyo najua unanielewa....so mkatae mkubali,haihitaji kuwa Joan rivers kujua jd anachemka wen it comes to mavazi,...
And usichanganye point mkorogo wasnt our talk,
Haya panic tena nikusikie...
 
Sex looking hiyo ni kazi ya kina Wema Sepetu,Irene Uwoya auntie Ezekiel and likes, kazi ya Jide ni performance on the stage and not otherwise.

Miaka 13 ya kuwa kwenye chati haikuletwa na mavazi bali hard working & determination.

sawa kabisa. perfomance ya stage na kujituma ndio siri ya mafanikio sexy body sijui nini sio ishu tunampenda jide anavyojiheshimu na kujituma kwake ni kioo cha jamii kweli
 
wanawake kwa kuoneana wivu.mafanikio ya jide yanawarusha roho sana ....mavazi kitu gani bana nyie mnaopendeza mbona maendeleo ziro nunueni marange tuwaone mtaishia kupewa vitz na kadi ya gari hampewi siku mkitoswa na gari mnanyang'anywa
 
hahahaahahha...unanchekesha sana,na ulivopanic ndo kabisaaaa nakushanga,kwan me cjui JD ni mwanamuziki na sio model?she is on the spotlight sana tena ni stage performer,kazi km yake 'mavazi' yana nafasi yake ,em tafuta ht picha moja utupie humu ambayo iliku'impress with her dress codes and fashion hadi ukakiri dahh leo JD KATOKA SEXY AU SHE LOOKS ATTRACTIVE...kimoyomoyo najua unanielewa....so mkatae mkubali,haihitaji kuwa Joan rivers kujua jd anachemka wen it comes to mavazi,...
And usichanganye point mkorogo wasnt our talk,
Haya panic tena nikusikie...

Do you know Asa(Asha)...A nigerian musician based in France?...'Jailer' hit maker......She doesnt look like any of Kardashian Sisters But The World VALUE her as a musician...Zolani Mahola(Freshlyground Lead Singer)Zahara('Loliwe' Hit Maker),,,Just to mention a few.....Hawa watu they work hard na wanafika pale watakapo kwa TALENTS zao......Umemuona Lupita Wa Kenya?unafikiri Bongo Movie Industry ingefikiria kumfeature sababu ya muonekano wako wa 'Kinatural'?..but look at her nooow...she has been making headlines so far....What is the most important thing in a WOMAN is her Talent and her ability of making sure her dreams are coming true...No matter the absence of Kors,Gucci,CLs And Cavallis in her wardrobe....Star quality is down deep her soul...
 
Kula like mkuu
 
hahahaahahha...unanchekesha sana,na ulivopanic ndo kabisaaaa nakushanga,kwan me cjui JD ni mwanamuziki na sio model?she is on the spotlight sana tena ni stage performer,kazi km yake 'mavazi' yana nafasi yake ,rem tafuta ht picha moja utupie humu ambayo iliku'impress with her dress codes and fashion hadi ukakiri dahh leo JD KATOKA SEXY AU SHE LOOKS ATTRACTIVE...kimoyomoyo najua unanielewa....so mkatae mkubali,haihitaji kuwa Joan rivers kujua jd anachemka wen it comes to mavazi,...
And usichanganye point mkorogo wasnt our talk,
Haya panic tena nikusikie...

Nadhani hutumia makalio kufikiria weye?
 
Sex looking hiyo ni kazi ya kina Wema Sepetu,Irene Uwoya auntie Ezekiel and likes, kazi ya Jide ni performance on the stage and not otherwise.

Miaka 13 ya kuwa kwenye chati haikuletwa na mavazi bali hard working & determination.

This z it.
 
Back
Top Bottom