Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

Mods,
Naomba mdelete hii. Nimefungua threads mbili zinazofanana wakati ninaedit.
 
lady+jay+de.jpg

lady2.jpg

Alikuwa na ndoto ya kumiliki hii gari miaka miwili iliyopita tarehe kama ya leo alipost gari hyo Envoque RR kama PIC OF THE DAY na akasema Roho yake inachomoka(imekufa) kwa hiyo gari mungu mkubwa tar kama hyo yani 19 January 2014 kapost kwenye facebook as her new ride,ndio maana tunasema "Dream Big" jamani

Source:JAY DEE PIC OF THE DAY 19 JANUARY 2012
 
Imepita na speed ya 180 hakuna mtu aliyeiona.
:focus:
Diamond inabidi aachane na Ma-Toyota watu wenye hela wanatembelea magari ya maana achana na V8 fanya kama JIDE unavuta RR then Escalade then Lincoln Navigator then tunaenda hadi Maybach au Aston Martin.

nmemshangaa sana huyu daimond kukurupukia liv8 hizi ndo gari za superstars bwana
 
congrats zake sana!
Bila ukuli hii natumaini! Just pure hard work and calculations!
 
Hiki ndicho alichoki post lady jaydee kwenye mtandao wake wa instagram...heshima kwake# hard work pays..wakina wolper mpooo???

safi sana JD.....unajua sometimes its not about PRICE....its about quality,attention to details and class!!na hapa umeonyesha una quality,attention to details na class kwenye magari......from MURANO to ENVOQUE CONGRATS.....
 
=> Jide ndio anamiliki gari ghali kuliko wasanii wote Bongo...Land Rover..Range Rover Evoque.. .kitu WHITE....

im not sure about this....but definately she got good taste and class in cars!!!nice whip for a superstar,lady.
 
safi sana JD.....unajua sometimes its not about PRICE....its about quality,attention to details and class!!na hapa umeonyesha una quality,attention to details na class kwenye magari......from MURANO to ENVOQUE CONGRATS.....

Hyo kitu imagonga mngapi mkuu?? Maana ni noumaah sana
 
Back
Top Bottom