Range rover ya Lady Jaydee

Hehhehe,i like the work out in replies....mbna mnapanic...chillaxxxx guys JD dsnt even know who we are...
Basi tufanye mmeshinda nyie,sawaa eeeh
 
Hehhehe,i like the work out in replies....mbna mnapanic...chillaxxxx guys JD dsnt even know who we are...
Basi tufanye mmeshinda nyie,sawaa eeeh

una wivu we mdada .jide comando yuko juu.usituletee habary ya hivyo vi celebrity vyako uchwara unavyovitetea hapa. yani kukaa uchi ndio usexy? kuna wanawake wanavaa kanga tu au baibui and they look so sexxy...!
 
una wivu we mdada .jide comando yuko juu.usituletee habary ya hivyo vi celebrity vyako uchwara unavyovitetea hapa. yani kukaa uchi ndio usexy? kuna wanawake wanavaa kanga tu au baibui and they look so sexxy...!

hahaa umepanic brazaa...sina wivu,she inspires me ndo mana nkamsifia kuwa na evoque,but hapo sekta moja ndo vileeeeee.....
 
Hehhehe,i like the work out in replies....mbna mnapanic...chillaxxxx guys JD dsnt even know who we are...
Basi tufanye mmeshinda nyie,sawaa eeeh

Nyoo, siku nyingine peleka chuki zako mbele usikute wewe shape yako bora hata ya muhindi wa mosque street.
 
mkuu warumi, hapo ndipo utajua akili za wabongo zimelalia wapi. Wanadhani mikorogo na mikogo ndio mafanikio! Jay Dee ana kitu kimoja ambao wengi hasa huku Africa tunakikosa ambacho ni akili na mtazamo chanya. Ukamilifu wa binadamu uko kwenye fikra zake, na hao wanaoongelea sijui 'sexy', 'attractiveness' na ujinga mwingine kama huo wajiulize kuna wacheza filamu wangapi Tanzania kisha wamgeukie Lupia Nyong'o na wasema ana sura gani! Tusibobadilika tutaendelea kupuuzwa na dunia.
cc: Mr. President

 
Not a big Jaydee fan.

Ila nimependa the relatively ecofriendly choice, with a 2300 cc engine, this baby is better than an Altima in that regard.

Unlike some celebrities (Raila Odinga) who would show their lack of regard for the environment by hammering us with a Hummer.

I actually considered this, until my neighbor surprised me with the Range Rover Sport. And I can't stand looking like a copycat keeping up with the Joneses.

Shaggy would have complained with a song.

"Everyting whey Shaggy do, crowda people falla me..."

Cc: Nyani Ngabu
 
Last edited by a moderator:

Raila mpaka atajwe hata kwenya range ya Jaydee. Rudisha siasa za wakikuyu Kenya
 
Last edited by a moderator:
Ni hela nyingi mkuu zinaanzia paundi 48.000 hiyo ni FOB price !!
 

unajali mazingira sana.unaendesha PRIUS?
 

mbona akina jennifer lopez wanajiweka vizuri jamani?kwann yeye asiwe smart?hivi mnaelewa maana ya mtu kuwa celebrity...?mnaujua ucelebrity nyie?
 
Acha kufuru wewe.......sasa ulitaka naye apige ya kwake ?......yangekuwepo unafikiria angeacha kuyaonyesha ?

Mnyazi Mungu akupi yote, jide kapigwa pasi lakini upstairs yuko vzr! Hao wengine na makalio utadhani mitungi ya maji kichwani maji tuu!
 

Ndiyo sababu ana miliki mkoko mkali kuliko wewe! Wewe endesha mavazi manake ndiyo level yako!
 
wanawake kwa kuoneana wivu.mafanikio ya jide yanawarusha roho sana ....mavazi kitu gani bana nyie mnaopendeza mbona maendeleo ziro nunueni marange tuwaone mtaishia kupewa vitz na kadi ya gari hampewi siku mkitoswa na gari mnanyang'anywa

Well said! Nimelishangaa sana hilo nungayembe linavo argue kuhusu mavazi as if yeye yamemfikisha popote! Wanawake badilikeni, acheni kuoneana wivu! Ebooo
 
safi sana komando Jd wale wambea wa jahaziii kazi wanayo wapiga domo wa radio mawingu watachelewa sana kupata kitu kama hicho. Big up mdada i salute u#team anaconda#
 
Huyu dada ndo mwanamziki wa kwanza kumiliki ndinga kali kipindi hicho wasaanii wengi walikuwa wanaazima magari na wale waliokuwa na magari ya kwao basi ilikuwa ni StraLet yeye kipindi hicho alikuwa anamiliki Prado
 
Hahahhaha msilolijua n sawa n usiku wa giza hyo range n ya mumewe ya kazin kama mnavojua gadna kaamia azam tv cjuu ndo meneja masoko ndo kapewa gar ya kaz n si jay dee kanunua me n team anaconda ila kwa gari msidanganyike ndgu kama mnabisha fuatilien kwa watu wa karbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…