mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
kama kweli ni gari lake,mbona photo pouse zote kaficha number hazisomeki? Ndo yale yaleee...shauri lake,vijana wa majembe wako kitaa wanafanya kazi...
huyu dada ndo mwanamziki wa kwanza kumiliki ndinga kali kipindi hicho wasaanii wengi walikuwa wanaazima magari na wale waliokuwa na magari ya kwao basi ilikuwa ni stralet yeye kipindi hicho alikuwa anamiliki prado
unajali mazingira sana.unaendesha PRIUS?
safi sana komando Jd wale wambea wa jahaziii kazi wanayo wapiga domo wa radio mawingu watachelewa sana kupata kitu kama hicho. Big up mdada i salute u#team anaconda#
Hahahhaha msilolijua n sawa n usiku wa giza hyo range n ya mumewe ya kazin kama mnavojua gadna kaamia azam tv cjuu ndo meneja masoko ndo kapewa gar ya kaz n si jay dee kanunua me n team anaconda ila kwa gari msidanganyike ndgu kama mnabisha fuatilien kwa watu wa karbu
...tell me about FORD EXPLORER 2014 (SUV)......hizi zipo bongo?......
Big up Commando Huna makuu mama we na mume wako tu Kama kumbikumbi I like that sio wanaohongwa Magari Kama wema,shilole,wolper,uwoya wanapewa Magari Hayana KADI au diamond anapiga Picha huku anaficha plate NAMBA MWISHO wa siku kumbe gari ya CHIEF KIUMBE
ehhh kumbee, waambieee...wapiii kina Matola na wengine walokuwa wamepanic humuu kudefend ownership ya hlo gari
jamani sio yakee kama yake me nakunya hadharan gar ya mumewe kapewa ya kazin kahamia azam radio n tv
Hahahhaha msilolijua n sawa n usiku wa giza hyo range n ya mumewe ya kazin kama mnavojua gadna kaamia azam tv cjuu ndo meneja masoko ndo kapewa gar ya kaz n si jay dee kanunua me n team anaconda ila kwa gari msidanganyike ndgu kama mnabisha fuatilien kwa watu wa karbu
hahahaha sure mkuu .....wakati hii gari Brand new price from uk ni Pound 28,000Hongera bidada kifaa cha ukweli.kuna wa2 watakuja mda c mrefu waseme gari la 200m au 300m
Hahahhaha msilolijua n sawa n usiku wa giza hyo range n ya mumewe ya kazin kama mnavojua gadna kaamia azam tv cjuu ndo meneja masoko ndo kapewa gar ya kaz n si jay dee kanunua me n team anaconda ila kwa gari msidanganyike ndgu kama mnabisha fuatilien kwa watu wa karbu
hivi hindoa bado ipo?Big up Commando Huna makuu mama we na mume wako tu Kama kumbikumbi I like that sio wanaohongwa Magari Kama wema,shilole,wolper,uwoya wanapewa Magari Hayana KADI au diamond anapiga Picha huku anaficha plate NAMBA MWISHO wa siku kumbe gari ya CHIEF KIUMBE
Labda kama kaolewa na mtu mwingine ila ile ya zamani ilishakufahivi hindoa bado ipo?
Kwa mtazamo wako Ruge anashindwa kuvuta mkoko kama huo??king kong asante,,duh hapa mawingu watakufa kwa presha
Mkuu ile ya siwema anayodaiwa milioni 98 ameshailipia?Hiki ndicho alichoki post lady jaydee kwenye mtandao wake wa instagram...heshima kwake# hard work pays..wakina wolper mpooo???