mama la mama
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 304
- 152
kama kweli ni gari lake,mbona photo pouse zote kaficha number hazisomeki? Ndo yale yaleee...shauri lake,vijana wa majembe wako kitaa wanafanya kazi...
ni ya mumewe ya kazini kapewa n bakhrrsa baada ya kutoka times