Range rover ya Lady Jaydee

Range rover ya Lady Jaydee

Isije kama ya Wema,baadaye tunasikia wenyewe wamechukua
 
naonaga kama almasi huwa ananunua gari za kishamba!. anaacha kucheza na ma benz, maaudi na ma BMW ye anakimbilia migari ya madingi haina hata swagga.
 
Hyo Audi Unaweza ata kununua wew bandugu sio jide
 
Does it matter? Walau kajiongeza bwana. Kuna wasanii, especially wengi wetu daladala zinatuhusu hadi kifo kitakapotutenganisha.

Siku hizi unategea kukesha wewe, you ar warned.
Brand new or more than one hand?
 
Does it matter? Walau kajiongeza bwana. Kuna wasanii, especially wengi wetu daladala zinatuhusu hadi kifo kitakapotutenganisha.

Siku hizi unategea kukesha wewe, you ar warned.

Hahahaha King'ast heshima yako bibie! Gari mpya ina raha yake bwana, mara kufanyiwa service, guarantee etc ndio mana nimeuliza sio kesi. Ila ka ni brand new napongeza 100% kajitahidi sana ingawa sio fair kuendesha gari hilo nchin ambayo hata maji safi ni ishu.

Ningekuwa raisi mm ni udikteta tu wananchi waishi rational na sio tajiriiiiiii na maskiniiiiii
 
Last edited by a moderator:
Ungekuwa rais ungepata ubavu wa kuwa dikteta kama unakusanya kodi na kuweka.huduma za jamii. Sasa kadada ka watu kanaimba kwa kujituma hadi hakanenepi, afu akikusanya tuhela twake mnataka asinunue gari zuri kwa sababu mmechagua rahisi anazurura kuomba neti na mashuka? Hell no! Kwenye familia zetu tunao watu wavivu, walikataa shule ama kazi, hawanizuii mie kununua uturi ama kwenda brazil kuangalia world cup. Eboo

Back
Top Bottom