Range Rover ya Wema, matunda ya kampeni za CCM?

Jack Beur

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2010
Posts
222
Reaction score
246
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan ya "mama ongea na mwanao", je hiyo Range Rover ni kazi ya hela alizopiga? duh, watu wamepiga hela jamani uchaguzi wa mwaka huu, sijui aliyekuwa anakaa na mkoba JM amepiga shilingi ngapi kama Wema kapiga mil 200
 
labda ni biashara zake za muvi... japo hata sikumbuki lini ametoa muvi mpya
 
Huyo Wema hata nyumba ya kuipark hiyo Range Rover hana. Si bora basi angalau angenunua nyumba uswahilini? Maana mil 200 hupati nyumba Masaki, Mikocheni hata Mbezi Beach! Grow up, Wema. Hiyo Range Rover inahitaji maintenance sasa na wewe kazi yenyewe ya kuungaunga!
 
Watahudumia wanaomuweka mjini bhana...
 
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan ya "mama ongea na mwanao", je hiyo Range Rover ni kazi ya hela alizopiga? duh, watu wamepiga hela jamani uchaguzi wa mwaka huu, sijui aliyekuwa anakaa na mkoba JM amepiga shilingi ngapi kama Wema kapiga mil 200

Kuna dogo tu hapa mtaani tayari amenunua nyumban ya 80ml ,jamaa ametokea tu kumshobokea lowasa 4u movement .hapo sijagusa mbatia ,mbowe na lema
 
kile kijamaa chake sijui mme whatever nasikia chakula ya wana gasho
 
Wema Sepetu amenunua Range Rover brand new, anasema thamani yake ni mil 200, je ni matunda ya kampeni za CCM maake alifanya initiative ya kumkampenia Makamu wa Rais mama Samiah Suluhu kwa slogan ya "mama ongea na mwanao", je hiyo Range Rover ni kazi ya hela alizopiga? duh, watu wamepiga hela jamani uchaguzi wa mwaka huu, sijui aliyekuwa anakaa na mkoba JM amepiga shilingi ngapi kama Wema kapiga mil 200

Acha kujadili watu
 
Huyo Wema hata nyumba ya kuipark hiyo Range Rover hana. Si bora basi angalau angenunua nyumba uswahilini? Maana mil 200 hupati nyumba Masaki, Mikocheni hata Mbezi Beach! Grow up, Wema. Hiyo Range Rover inahitaji maintenance sasa na wewe kazi yenyewe ya kuungaunga!

Uwiii
Hivi hujuwi hujuwi kuwa wema sepetu anabonge la nyumba, Huyo dada usimuone hivi ukamuona hafai, huyo anajitambua sana na anatambua kazi zake, usione watu kila siku wanamwandika vibaya kwenye mitandao na wewe ukamdharau, Wema tupo vizuri sana
 
Ile ya mil 400 Sinza haikua yake, alikodishiwa na brother man. Sasa hiyo unayoisema wewe ni ipi? Tuonyeshe basi. Hakuna kitu hapo!
 
Safi sana mtoto wa sepenga.

Nimependa sana hasa suala la kuanzisha vipodozi vya jina lako, hiyo akili kubwaaa.......!!
 
Mbona umeandika kama wewe ndiye Wema mwenyewe..!! Au mtunza hazina!!??

Back
Top Bottom